Kwanini unalala uchi ?
1. Kulala bila nguo kunafanya mwili wako uwe relax pamoja na celi za ngozi kupumua haswa.
2. Kulala uchi kwa asilimia 80% huwa wanawahi kupata usingizi zaidi kwa haraka...
Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile Kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho Kwa dk...
Naomba wajuzi mnieleze ukweli wa hili Jambo. Wife alienda piga , X- ray ya mbavu but akaambiwa avae kanga, but wakati wanapigwa akaambiwa aifungua Ile kanga.
Je, ni kweli hili Jambo ilipaswa kuwa...
Heshima kwenu nyote
Ni wazi kuwa sie wabongo ni watu wa kujaribu vitu hata vile tusivyo visomea.
Nitaweka baadhi ya dawa(vidonge) ambavyo vinatibu ugonjwa fln lakni Kwa ujuaji wa kibongo vidonge...
Habar wakuu nimekua namaumivu ya moyo upande wa bega kwa nyuma tangu mwaka Jana mwenz wa sita ..nlienda jkci nkafanyiwa echo na ecg majibu ya echo yalikua normal...ila ecg ilikuja sinus...
Habari za wakati huu wanajamvi,
Rejea heading hapo juu nina ndugu yangu wa karibu kabisa naona tunaelekea kumpoteza siku si nyingi kutokana na stress ama msongo wa mawazo alikokua nao mpka...
Matatizo ya kibofu cha mkojo yamekuwa yakiwasumbua sana watu wengi.Prostate anlargement(kupanuka kwa tezi)
ugonjwa huu umekuwa ukiwasumbua sana watu wengi tanzani na dunia kwa ujumla...
Amemaliza form 4 na kapasi vizuri tu ana one, ni Ke. Anataka kwenda diploma kwenye kozi ya sekta ya afya. Anaomba ushauri wa kozi gani nzuri kati ya hizi
Ordinary Diploma in clinical medicine...
Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume.
Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali.
Mgonjwa yupo Morogoro.
Kumekuwa na kilio cha wengi juu ya tatizo hili na sisi JamiiForums tumeonelea vema kuwa na thread moja itakayotoa mtiririko unaoeleweka kwa msomaji ili afahamu ukubwa wa tatizo na matibabu...
Habarini wanajamiiforums,
Hivi sasa kumekuwa na ongezeko la magonjwa yasiyokuwa ya kueneza (non-communicable diseases) kama vile kisukari, shinikizo la damu na kufeli kwa figo miongoni mwa vijana...
Utafiti unaonyesha kuwa chanjo mpya ina ufanisi zaidi ya 75% katika kuzuia magonjwa na vifo vikali katika mwaka wa kwanza na kwamba kinga huongezwa kwa angalau mwaka mmoja zaidi kwa kupata chanjo...
Habari wadau.
Naomba kufahamu hospitalini ambayo ina wataalam wa magonjwa ya kina mama ama gynaecologist mzuri kwa hapa Dar es Salaam.
Mpenzi wangu ana tatizo la maumivu wakati wa ngono, hii...
Hallo Wanajamvi habari za jioni. Ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vema.
Kuna jambo ambalo linanisumbua sana kwa sasa. Ni miezi miwili na nusu tangu mke wangu alipojifungua na...
Kama kuna mtu ambaye amewahi kutibiwa tatizo la maumbile madogo (kibamia) na akapona anisadie pia na mimi nipate tiba.
Tafadhali kama kuna mwenye uhakika na sehemu panapotolewa tiba ya uhakika...