Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wasalam wana jamvi, SERIUS PLEASE Mtoto miaka miwili na nusu amekunywa mafuta ya taa akidhani ni maji, je nini tiba ya haraka na madhara yake.
0 Reactions
39 Replies
22K Views
Ndugu wanajukwaa naombeni msaada jinsi ya kupona hizo kitu ni chronic zaidi ya mwaka sasa nawasilisha. Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani naombeni ushauri. Nina umri wa miaka 33 kwa sasa na ni mwl sekondari. Ninasumbuliwa sana na kichwa na kimeanza muda mrefu. Kwa kumbukumbu zangu nahisi niliumia utotoni, kuna siku tulikuwa...
4 Reactions
54 Replies
5K Views
Watu wengi huanzishiwa dawa mara tu akipimwa na kukutwa na sukari ipo kuanzia 10 -12 haswaa wale wa aina ya pili ya.kisukari, kimsingi ni makosa.angalia iwapo kiwango cha sukari yako katika damu...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Ugonjwa huu upo sehemu za siri huwa unawasha ukijikuna baada ya muda kidogo unapata naumivu makali, Ngozi ya korodani kuna wakati inakakamaa na kutoa magamba yaani kama nyoka anavyojitoa gamba na...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Kila ninapofanya mapenzi, nikishakojoa uume unasinyaa muda huo huo. Je hili linaweza kuwa tatizo?
0 Reactions
3 Replies
761 Views
Hivi ni dalili gani za mtu anayekuwa na kipara, Naona kama vile nanyemelewa na kipara na ni sababu gani za mtu kuwa na kipara...... Nywele za kichwa ktk utosi zinawasha,Ndoto nyingi nyingi usiku...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
*FAIDA 20 ZA MASSAGE KATIKA MWILI (Tsh 50,000/=)* 1 Massage inaboresha afya ya ngozi. 2.Massage hufungua mishipa ya fahamu na kuongeza uwezo wa kufikiri. 3. Massage husafisha ngozi na kuboresha...
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Natumai mko wazima wote, jamani hapa kidogo nimetatizwa jinsi ya kujua kama mpenzi wangu ametoa mimba wiki tatu zilizopita kwani jinsi anavyo behave kidogo simuelewi na utaalamu huo wa kujua kama...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Mwanamke kutokwa na ute mweupe ukeni Kama lotion au maji ya mchele. Je tatizo hili linasababishwa na nn na je linachangia kutopata ujauzito?
0 Reactions
4 Replies
706 Views
Habari wana Jf mm nikijana wa miaka 23 nimekuwa na tatizo la Unene hali hii kiukweli inanitesa sana Kuna rafiki yangu amenipa ushauri ninunue dawa za kupunguza mwili je hizi dawa nikweli...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Habari wandugu, Jamani jana kuanzia jioni jioni nilianza kujisikia muwasho kwenye ngozi, na ilipofika usiku it got worse nikikuna inatoka uvimbe uvimbe nikachukua baby powder nikajipaka kwenye...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari wakuu ....? Eti ni kweli kenya wamepata mbadala wa ARV'S?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wanajamii, Hii makitu nimeitumia muda mrefu sana naona muda umefika wa kuacha, nina vijana wako chuo na nisingependa wafahamu hili tatizo langu, tatizo kila nikiamua kuipotezea hata wiki akili...
1 Reactions
96 Replies
13K Views
Tatizo hili la kuwa na majimaji ukeni husababishwa na nini? Utakuta upo na mkeo mnafanya tendo la ndoa halafu katika "in and out" unasikia sauti "chubwi chubwi" kutoka ukeni. Kwa yeyote anayejua...
0 Reactions
35 Replies
20K Views
Habar zenu wadau natumai mpo powaa Wadau nahitaji kujua kama kuna dawa yakuongeza ndevu ziote kwa wingi zaidi
1 Reactions
1 Replies
757 Views
Kutokwa na uchafu uumrneni jaman ni ugonjwa gani na dawa gani itumike jaman!!
0 Reactions
3 Replies
662 Views
Namshukuru Mwenyezi Mungu mke wangu amejifungua salama baada ya miezi kumi ya ujauzito. Wakuu naomba kufahamu vyakula gani anaweza kula mama aliyejifungua ili aweze kurecover haraka?
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Mtoto wangu ana miez miwili leo cku ya pili anajisaidia marenda renda mara kwa mara japo Co mengi lakn imekuwa too much, nimpatie dawa gan ili iache hali hiyo? Au ni kawaida nipo njia Panda.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…