Je kuna ulazima wa kuwaua nyoka wote kama baadhi ya watu wenye mitizamo ya kwamba nyoka kila akionekana ni kupigwa mpaka afe ?
1.kwanza itakuwa sio fair kwenye eco system kuna baadhi ya wanyama...
Baada ya kubahatika kumpata mtoto mmoja, mke wangu alitumia NJITI kama njia ya uzazi wa mpango sasa baada muda akagundua njiti imepotelea mwilini. Tumejaribu kumtafuta mtoto pasipo na mafanikio...
Soya ni nafaka ambayo ikitumiwa vzur huleta afya nzuri na kuondosha magonjwa ya aina mbalimbali Faida chache za kutumia soya nafaka
-huleta kumbukumbu
-huondoa kolesto
-kuongeza king a mwilini...
Habari waungwana poleni na mihangaiko ya kutafuta ridhiki.Ngoja niende katika mada husika na nimekuja hapa jf kupata upembuzi wa jambo hili linamkabili dada yangu kwa majuma kadhaa ana vidonda...
Mimi ni ME,Sina mchepuko ila nimeoa, nimehisi muwasho ndani ya miezi 2 sasa wakati wa kukojoa na ninapokuwa nimekaa kuna kauchafu kama majimaji hunitoka na huwa nahisi maumivu wakati nimekaa ila...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza napata maumivu ya viungo vya mwili vinauma sana na kusababisha misuli yote ya tumbo inauma mbaya.
Je kuna dawa ya kuchua au nifanyaje haya maumivu yaishe?
ndugu ...
nimeoa mwaka wa pili sasa ila ninafanya tendo la ndoa kwa dakika zisizozidi tano,nakua nimesha "mwaga"
sasa naona kama ni tatizo
kama kuna msaada wa tiba au dawa nahitaji sana.
kama ni...
Habari zenu wana jamii forums
naombeni msaada wa hospitali nzuri inayotibu au hata ushauri musuala ya uzazi wa kina mama au doctor
yenye bei nafuu kidogo
nipo serious katika hili
ASANTENI SANA...
Habar ndugu zangu . naomben msaada kuna mtoto wa ndugu yangu nimekuja kumuona huku kijijin bahat mbaya ana tatizo la ulimi mzito yaani hawez kuongea vizuri japo anatamka maneno machache...
Habari za jioni wakuu
Jino langu lilikuwa limejazwa sasa limekatika kule kwenye jino la kweli ikabaki ile chokaa.. nataka kutumia superglue kurudisha je kuna madhara kwenye jino?
Nimebaki na meno...
Professor mmoja wa Kifaransa huko Jijini Paris na ambaye pia ni Mtafiti wa Magonjwa ya akina Mama amesema kuwa uvaaji wa Nguo za ndani Chupi aina ya Bikini kwa akina Dada / Mama huathiri kwa kiasi...
Habari watu wa mungu,
Naamini wazima wa afya.
Kutokana na kichwa cha habari hapo juu, kina eleza namna ambavyo mnaweza kunipa ufahamu yakinifu katika suala X mchakato mzima wa kuacha matumizi X...
Wakuu habari zenu wataalam wa haya mambo,ninahoja inayonichanganya kidogo kwa mtu mwenye mimba kutokwa na uchafu kama dalili ya Bleed hii imekaaje na nn kings yake? Uchafu unatoka sio kwa kiwango...
Kwa kipindi cha hivi karibuni nimekutana na cases kama nne hivi za watoto wadogo kuota nyama Puani zinazowasababishia matatizo ya kupumua. ..
Ma Dr. Mnaweza kutoa ushauri namna ya kukinga hii...
Heshima kwenu nyote...
Naomba kujulishwa......adenomyosis ni ugonjwa gani......chanzo chake....tiba yake...na kwa kiswahili unaitwa nini......??..
Kwa heshima na taadhima naomba nisiambiwe...
Hili suala linanitatiza sana. Hawa wenzetu kila msimu wa mfungo unapoanza huisisitiza sana slogan hii 'kufunga huleta afya njema'.
Naomba kufaham... HOW!!?
AHsanteni ndugu zangu Waislam.
Habarini...
Hii imenikuta... lani nimekinywa maji machache sana kama nusu kikombe vile.... alafu unakuja kukojoa zaidi ya lita moja... pia mkojo ukiwa na rangi ya njano kwa mbali..
Nimepima...