Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hii mitandao inaharibu Sana watu. Hasa sisi wanaume. Leo wakati fulani napitia blogs na YouTubers jamaa mmoja anaelezea kwanini uume mdogo na namna ya kufanya uwe kama muhogo. Nikichoelewa ni...
6 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari wana Jamvi, Poleni na baridi. Nilikuwa nauliza Wataalam je Kuwaza hadi kujikuta unaongea mwenyewe kwa sauti ni tatizo au kawaida tu?
10 Reactions
48 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa ; Naomba msaada wa wataalamu na wazoefu , nina mtoto anaetumia maziwa ya lactogen ila leo nimeenda kununua muuzaji akanambia number 1 iko ya Kenya na kuna ya South Africa. Ya...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu wa humu mko vizuri? Ebana jana kulikua na sherehe somewhere ya jamaa yangu, yani me toka asubuhi ilikua ni nyama na pombe tu. Sasa leo nimeamka, kila nikijamba natoa shuzi linanuka sio...
5 Reactions
17 Replies
865 Views
Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja...
0 Reactions
13 Replies
662 Views
Wakati nafanya tendo kwenye round ya pili, nikawa nakaribia kukojoa nikagundua condom imevuja. Kumuambia mwenzangu tukapime, akawa mkali sana. Nilifanya kila jitihada akawa ananikimbia, leo ni...
16 Reactions
65 Replies
11K Views
FAIDA ZA PARACHICHI (Faida 20 za Kula Parachichi) Parachichi ni aina ya kipekee ya tunda. Matunda mengi kwa asili ni wanga lakini parachichi limejaa mafuta yenye manufaa makubwa kiafya. Tafiti...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za mchana wadau ningeomba kuuliza nyama ambayo Haina mchuzi wa nyanya inafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo naombeni msaada wenu nipate kujua wadau
1 Reactions
2 Replies
343 Views
Vumbi hili lina majina mengi sana nayo ni Kasongo, Mundende, putururu, Mpesu, nk. Vumbi hili si vumbi kama vumbi la stoo, barabarani, shambani nk. Hili ni vumbi linalotokana mizizi au Magome ya...
21 Reactions
146 Replies
53K Views
Habari wapendwa Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini leo ni siku ya tatu hajapata choo na anakua anajamba na maranyingine ushuzi unatoa harufu hii ni kawaida au kunatatizo, kwa mwenye ujuzi na na...
1 Reactions
2 Replies
963 Views
Wakuu naombeni ushauri, Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye makalio vimemtokea, shidah...
8 Reactions
142 Replies
7K Views
Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho kwa dk...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
- HIV ni kirusi ambacho hadi leo hakijawahi kuonekana umbile lake sababu kinauwezo wa kugeuza na kubadilika zaidi ya maumbile 360. - HIV ukiipata leo, itakuchukua WIKI moja ndio ionekane kwenye...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Mimi ni mgojwa wa vidonda vya tumbo. Kuna dawa asili natumia sasa hivi tumbo naweza kulialia halisumbui ila tatizo lililobaki kiungulia hasa nikitembea au nikilala kinakamata ila nikikaaa...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Wakuu habarini smaahani, Ninaomba kwa anayeweza kufahamu mtu anayekuwa katika hali hii anakuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani? Nina Baba Mkubwa wangu yeye kuna hali humtokea yani unakuta amelala...
2 Reactions
16 Replies
505 Views
Jamani mtoto wangu anasumbuliwa na mashilingi kichwani tumejaribu baadhi ya dawa zimegoma, naombeni mnisaidie dawa nzuri ya kumtibu hadi yaishe
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi nina sumbuliwa na "Chronical Acne", zinaninyima amani mbele za watu, nakuwa uncomfortable [emoji21], hata kumtizama mtu usoni inakuwa ni ngumu. Umri unaenda bado zipo, mpaka sasa 30 yrs...
2 Reactions
74 Replies
4K Views
Habari ya leo wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema. Ningependa nipate msaada wenu kwa kunifahamisha dawa au tiba ya Uric acid nyingi mwilini. Natanguliza shukrani
3 Reactions
73 Replies
31K Views
Habari ndugi zangu Naomba nijue kuhusu kutolewa kwa kizazi kwa ambao washapitia changamoto hiyo Je unakuwa na tofauti gani katika kufanya tendo la ndoa na mume Je Kuna changamoto zingine...
4 Reactions
11 Replies
485 Views
Sikuile naangalia UEFA akaja jamaa na kibaraghashia… Sasa pale kwenye kibandaumiza kulikuwa na TV mbili zote zinaonesha mechi moja ila zinatofautiana quality na rangi. Moja ilikuwa imepauka nyasi...
18 Reactions
58 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…