Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ndugu zangu wanaJF Mimi ni Mwanaume almost 21 years ila tokea nijifahamu Nimekuwa na Kilo 56 yaani toka nikiwa na miaka 16 mpaka sasa nina miaka hiyo kilo zangu ni Hizo na siumwi chochote am very...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
ndugu zang,habarin za mchana..leo nimekuja humu baada ya uvumilivu wa mda mrefu sana..kuhusu tatizo langu..na nlikumbuka ule usemi mficha ugonjwa basi kifo humuumbua.Mwenzenu nimekuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mke wangu anaumwa sana kichwa hali akiwa na ujauzito Wa wiki 39. Nimeenda nae kwa pharmacy kanipa dawa za kutuliza maumivu (PCM) Na dawa za kichwa. Je ni sahihi kwa mjamzito kutumia dawa hizo?
0 Reactions
7 Replies
18K Views
Nimetafuta mtoto mimi na mume wamgu muda mrefu sasa tumeamua kuwekewa mtoto kitaalamu lakini hatujui huduma hii inapataikana wapi na ni sh ngapi? uwezo wa kwenda India na Ulaya hatuna , mwenye...
1 Reactions
33 Replies
16K Views
Kwa kipindi kirefu tangu enzi za kale, wazazi walijitahidi kuwalea watoto wao kwa lengo la kuwafanya wazingatie maadili mema. Walitaka watoto wao tangu wakiwa wachanga wafuate mila na destruri...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Assalam Alaykum wana Jamiiforums. Nilikuwa nasikia huyu mdudu Tandu ana sumu kali akikuuma lazima kamasi likutoke kwa uchungu wa maumivu. Leo yamenikuta huyu mdudu ameniuma, lakini nimefanikiwa...
0 Reactions
20 Replies
38K Views
Nimejaribu kulinganisha miaka 10 nyuma na miaka ya sasa hivi kupata msichana mwenye chuchu saa sita hazipatikani ni chache sana. Je, hii kulegea na kuwa kama mtu alienyonyesha hutokana na nini?
12 Reactions
256 Replies
70K Views
Wapendwa habari zenu, Tatizo lenyewe ni kuwa katika hali ya kupambana na Cancer ya Damu, ilikua 2014 mwanzoni nilipoanza kuhisi uvimbe tumboni ndipo nilipoamua kwenda Hospitali na kufanya vipimo...
9 Reactions
127 Replies
15K Views
Nimemaliza kula muda mfupi uliopita. Nipo na kijana wangu ni mvulana wa miaka kumi. Ni mnene sana, na anakula kweli kweli. Jina lake la utani ni kibakuli kwa sababu ya unene wake. Ref (kibakuli wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeingia kwenye mahusiano na punyeto miaka mingi sasa. Ingawa inasaidia kubana matumizi lakini kwa sasa siihitaji kwa vile sina sababu ya kuendelea nayo. Nina demu asiependa hela, sasa nataka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jaman nna mgonjwa wangu nimekuja kutibiwa hapa mhimbili so naomba kama kuna mtu humu anafanya kazi hapa, naomba tuwasiliane anipatie mwongozo wa namna ya kupata matibabu kwa haraka, Au hata yeye...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wa ndugu, naomba madaktari mnisaidie. Mimi ni mjamzito wiki ya 23 mtoto wa kwanza nilimzaa kwa operation na alikaa wiki 2 tu akafa. Sababu niliambiwa njia ilifunguka hadi cm 6 ikagomea...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Habari wanaJF, sio vibaya kujifunza hili kuhusu afya. https://afyazone.org/what-to-eat-in-the-morning/
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanajamii jumapili njema. Kwa muda mrefu sana nimekua nikisikia kuhusishwa kitovu kuhusishwa na nguvu za kiume iwapo kitaangukia kwenye uume wa mtoto wakati akiwa mdogo. Inanisumbua sana...
1 Reactions
47 Replies
8K Views
KUHUSU USHOGA ---------------------------- Historia: Kwa ufupi tu, mapenzi yaJinsia moja hasa jinsia ya kiume yamekuwa yakipigwa vita miaka nenda miaka rudi katika maeneo mbalimbali duniani...
18 Reactions
70 Replies
23K Views
Ndugu habari za hapa naomba kujua kupiga chafya asubuhi niugonjwa au hali yakawaida? pia umalizapo kuoga nakuanza kupiga chafya njingi niugonjwa au nihali yakawaida asanteni.
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari Jf Dr? Hivi majuzi nilipatwa na shida ikabidi nikimbizwe hospital haraka. Haraka nikapigwa drip bila hata vipimo. Wakati nipo kitandani ndipo utaratibu wa kuchukua damu kwa ajiri ya vipimo...
0 Reactions
7 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…