Habarini wadau,
Mimi ni mwanamume mwenye mke na watoto. Kipindi fulani hapo nyuma nilikutana na binti mmoja hakika alikuwa ni mrembo kupita wastani. Nilivutiwa nae sana na nikaamua kum approach...
Habari wadau,
Nilipata tatizo la kukojoa mara kwa mara na mkojo ukawa unauma kiasi ya kwamba nashidwa hata kuuzuia( yaani hata kama niko barabarani ni lazima nitafute sehemu nijisitiri vinginevyo...
Wataalam naomba kuuliza hivi kuna nini kinatokea ukiweka simu karibu na tumbo ?
Mimi nina vidonda vya tumbo. Nikiwa na muda wa kuchati napenda kulalia mgongo halafu nanyanyua miguu juu na...
Jamani mm nikijana nipo dar nililla nikaamuka nywere zangu zimenyolewa dizaini kama duara hivi kidogo na niligundua zilikuwa zinawasha pale mpaka leo ni miez miwili nanyoa lakin zinaota kwenye...
Habar wana jamii forum nimekuja ili kupata msaada au ushauri......
Nimekuwa sifurahii tendo la ndoa takriban mwezi hivi sasa na hii inatokana na Mke wangu kuugulia maumivu makali chini ya...
Si ajabu sikuhizi ukienda hospitalini kuambiwa una UTI baada ya kupima mkojo.
Habari hizi zimenishtua kidogo kwasababu Sasa imekuwa kama ni biashara Fulani hivi kuhusu UTI.
Ma Doctor wengine...
Habari zenu wana jf,naombeni ushauri kwa hili nina mwanangu leo ni siku ya pili tokea azaliwe na mama yake maziwa hayatoki na mtoto muda wote anaishia kulia kwa kuhitaji maziwa na huwa...
Habari za jioni ndugu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa anayejua gharama za kupandikiza mtoto tafadhali anisaidie na sehemu yenyewe!
Pia ukiweka mawasiliano sio mbaya! Ya hukoo wanakotoa...
kwa yeyote anayefahamu hili tatizo nitalitatuaje naomba anisaidie kama unafahamu mahali popote ambapo naweza kupata tiba naomba vilevile uni PM!
tatizo lenyewe ni hili miaka kadhaa iliyopita...
Habari zenu wakuu.
Mke wangu ana ujauzito wa miezi 7. Juzi tulikwenda kufanya manunuzi ya vitu kama vile vitenge,kanga na baadhi ya vyombo lakini yote ni maandalizi ya kumpokea kijacho.
Tupo...
Salaam wanaJf
Jamani msaada ,mwenzenu Jana nlikula bia nyingi Sana na kucheza bakulutu hadi alfajiri
Sasa hapa nlipo naandamwa na makengelee masikioni yani sisikiii fresh
Si mnajua yale...
Inasemekana mtoto mdogo baada ya kuzaliwa mda wa kitovu kukatika ikitokea kikadondokea sehemu zake za siri na kama jinsia ya mtoto ni ya kiume basi atakuwa ni hanithi maishani mwake na ikitokea...
Wakuu ninafahamu humu kuna watu wenye uelewa wa hali ya juu sana kuhusu afya. Tunaomba muongozo wenu wa namna wa kupata Giniasi wa kike.
Tutashukuru sana kwa muongozo wenu
Habari za saizi wakuu,
Ni matumaini yangu mpo salama,
Naamini kuna watu humu wamewahi kuachwa au kuachika kisa kuwa na tabia ya kujikojolea kitandani wakati wa usiku,
Baadhi ya wanandoa...
MAMBO Manne Ambayo Hupaswi Kuyafanya Wakati wa Kulala..!!!
Wataalam wa afya wamekuwa wakieleza kuwa kulala ni moja ya mambo muhimu kwa afya ya binadam.
Licha wengi kutozingatia umuhimu wa kulala...
hi guys,
am bow legged waswahili wanasema matege na wananzengo wanaita banio.
njia gani naweza kutumia madaktari kama mnajua ili ni correct hiz bow legs zangu hata kama si kwa asilimia mia.
am...
Habari zenu.
Kama Week 3 zilizopita mpaka Leo nimekuwa ni mtu wa kuwa na wasiwasi mwingi na woga kana kwamba nimefahamu kuna kitu kibaya mbele yangu.
Lakini sina tatizo lolote linalonisumbua...
Wakuu naombeni msaada ni muda naathiriwa sana na fungus za miguu nimetumia aina nyingi ya tube za kupakaa bila mafanikio mara ya mwisho nimepewa vidonge (griseofulvin siku 7)na kozi imeisha jana...