Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Baada ya ya kujua vya kula vya carbs (wanga) na protein katika threads za nyuma,leo tunasonga mbele kuzungumzia lipids kama aina ya mwisho ya macro-nutrients. Lipids: ni vyakula vyote vya mafuta...
1 Reactions
1 Replies
10K Views
wakuu habari zenu Kuna Rafiki wa kike wa rafiki yangu amepata tatizo la kubleed kwa wiki mbili mfululizo. Nikamuhoji rafiki yangu imekuaje akapata tatizo hilo akasema kuwa alimpa dawa ya kuzuia...
0 Reactions
5 Replies
18K Views
Habari zenu madokta na msio madokta. Week kadhaa zilizopita niliamua kujitoa mhanga na kwenda hospitali kupima HIV. Nilienda kwenye vituo vya Angaza,maana nikitaka walau nipate na ushauri na...
2 Reactions
30 Replies
11K Views
Juzi jumapili mtoto wangu wa kiume miaka 12 akawa analalamika kichwa kinamuuma upande mmoja tu kushoto kama amegongwa na kitu, kwa kweli hali yake ilikuwa mbaya mpaka macho yakawa mekundu na sura...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mke wangu amepima hospital akakutwa mtoto kakaa vibaya, na docta alisema kuna hatar ya kufa mama au mtoto, na alimshaur ma mkwe aende kwenye tiba asilia, naomba mwenye utaalam kuhusu hili...
1 Reactions
9 Replies
13K Views
Habari zenu wandugu,naomba ufafanuzi wa kitabibu juu ya suala hili:- Inasemekana, ukijisaidia choo kubwa na kikaelea kwenye sink la choo una matatizo ya kiafya, je hili lina ukweli? Ahsante...
0 Reactions
3 Replies
598 Views
Ni mwezi umepita natamani kila siku nifanye tendo la ndoa nimemaliza mtaa wote nikiwa na happy Najua labda itaisha lakini matokeo co
1 Reactions
80 Replies
50K Views
Habarini wana jf! Mery xmass! Wakuu nina mpnz wangu ambae kwenye mfumo wa Mp hana specific time ya brid, yaani tarehe zinabadilikabadilika, mfano mwezi November alipata siku zake kuanzia tar...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Wanajamvi naomba msaada ni dawa gan nitumie ili CHULULU iongezeke ukubwa? Mwenzenu ndoa inayumba msaada. Please.
1 Reactions
46 Replies
19K Views
Wanasayansi nchini Marekani wamebuni tumbo bandia la kutengeneza ambalo katika siku zijazo linaweza kutumiwa kuwekea watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao, maarufu kama njiti. Kifaa hicho ambacho...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello Gentleman and ladies, Nilikuwa na tatizo la kutokupata usingizi ,katika kupitia pita JF DOCTOR nikakuta na uzi kuhusu kikombe cha maziwa moto na kabla ya kulala kinasaidia kukupa usingizi...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Za masiku enyi wananchi! Straight to the point kuna mdada anateseka sana na tatizo fulana ambalo kwa mda sasa na linamkosesha raha ya maisha especially ktk aspect nzima ya MAHUSIANO YA KIMAPENZi...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naamini ni wazima wa afya. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.. Ndugu zangu, nina miaka kadhaa tangu 6/2012 nimuoe shemeji yenu, tumekuwa tukihangaika kupata mtoto lakini...
8 Reactions
158 Replies
15K Views
Ndugu zangu nisiwachoshe kama nivyo eleza hapo juu ninasumbuliwa na madonda ya koo na husababishwa na nini na tiba take ikoje nashindwa kula
0 Reactions
13 Replies
3K Views
JITIBU MWENYEWE KUONDOA NUKSI,MIKOSI,MABALAA,FITNA NA HASADI ~Ogea chumvi ya mawe tia vidonge7 kwenye maji,baada ya hapo jifukize unga wa arkisusi kwa siku 14 utaona maajabu In shaa Allah...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Habari wanajamvini... naomba msaada kwa hili ... hivi unaweza kujua unamimba ndani ya siku 13? Au nimewahi kupima?? Maana UPT unaniambia negative? Au nisubilie wiki ingine zaidi??? Naomba...
0 Reactions
5 Replies
957 Views
WanaJF habarini za leo,, Kijana mwenzenu hapa limenifika shingoni ni hivi; nimejaaliwa kupata mtoto hivi karibuni ila tatizo limejitokeza kwa kipindi hiki kifupi kuwa hapati choo na kunyonya...
1 Reactions
17 Replies
12K Views
Karibu Rwanda
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari wana bodi, Mke wangu ana tatizo tukifanya mapenzi sasa akiwa anakojoa huwa anazimia na kutetemeka kama nusu saa hivi sielewi nkimuuliza anasema huwa anapata raha ya ajabu, sasa sijui hili...
4 Reactions
106 Replies
14K Views
Habari wadau, Nimekunywa balimi juzi hadi Leo kichwa kinauma balaa kinagonga acha kabisa. What wrong?
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…