Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hello waungwana nimeandika Uzi kwa lengo LA kupata msaada kwa rafiki ambaye amekuaa na tabia ya kusinzia darasan pale mwalimu anapofundisha ,haijalishi ni kipindi cha asubuh ,mchana au jion, but...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habar zenu Mimi ni kijana umri miaka 29 Male tatizo kubwaa linalonisumbua nikiwa katika mechii(sex) lile bao la pili naishia njiani hamu yote inapotea na dushe linasinyaaa Msaada wenu Tafadhali
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Naomba kuuliza!! Hivi ni kwanini mtu akienda haja kubwa(kunya) anapo anza hicho kitendo ni mpaka akojoe yani mavi na mkojo hutoka pamoja? Na ukienda kukojoa Huwezi toa kinyesi pindi unapokojoa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Uke kuregea ni tatizo linalotokana na kuregea kwa misuli ya uke hali hii husababisha Uke kuregea (Kutepeta). Maranyingi wanaume wenye wake au wapenzi ambao wana matatizo ya uke ulio regea hua...
1 Reactions
16 Replies
18K Views
Nahitaji kupunguza tumbo tuu, kuna uzi nilisoma huku wa kunywa maji ya moto asubuhi, nafanya hivyo kila siku ila wengi naona wananishauri kuruka kamba, nina siku ya 3 naruka 130/150 ila hili la...
0 Reactions
28 Replies
18K Views
Wakuu heshima yenu kwanza ....... Mm napenda kujua nn chanzo cha kukosa usingizi ukiachilia mbali ntu kuwa na stress/mawazo mengi Je madhara yake ni yap? Na tiba yake nn? Maana hta mmi ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna madhara kwa mwanaume kufanya mapenzi huku umechoka na mwenzi anahitaji, kuna madhara yoyote yanayotokea hapo?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MBEGU ZA MABOGA HUONGEZA NGUVU ZA KIUME,SOMA FAIDA KIAFYA ZA KUTUMIA MBEGU ZA MABOGA. Mbegu za maboga zina faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Mbegu za maboga zimethibitika...
5 Reactions
23 Replies
26K Views
Wana JF!! Samahani sana, naomba msaada wenu, najua mpo wengi wenye uelewa wa mambo. Sasa naomba kuelimishwa, pia kwa faida ya wengine wenye matatizo kama yangu. Nipo hapa kwa niaba ya kaka yangu...
5 Reactions
100 Replies
33K Views
Jamani naombeni nielimishwe.. Mayai ya kuku yenye kiini cheupe. Je, ni salama kwa mlaji na ubora wake ukoje? Sababu unachemsha yai kiini cheupe kabisa na ukikaanga yai lote jeupe. Hakuna unjano...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Kuna ndugu yangu anaumwa sana hapa Muhimbili. Anatapika sana damu mpaka inapungua sana na kupelekea kuongezewa. Ametibiwa sana vidonda vya tumbo na hali yake inazidi kuwa mbaya. Baada ya kupima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwili una mifumo mbalimbali ambayo hushirikiana kwa karibu katika ufanyaji kazi. Mara nyingi matatizo katika mfumo fulani huweza kuonekana katika mabadiliko kadhaa ya kimwili ambayo huweza...
9 Reactions
74 Replies
42K Views
Wakuu umri ni 28 Ni mda Sasa Nasumbuliwa Na Dalili Hizi Hii hali nna miaka nayo minne ila sasa imekua siriasi kuna kipindi nilitumia vidonge vya neuroton , baada ya kuacha kutumia dawa hizo...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Wasalaam Wakuu, Mama ana mtoto wa miezi 4 tangu ajifungue lakini anaupungufu wa maziwa, kwa maana hiyo mtoto hashibi. Kawaida hospital inashauriwa mtoto anyonye maziwa ya mama pekee bila...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Qn
Kati ya wanaume na wanawake no jinsia gan ina pataga hyperlibido
0 Reactions
4 Replies
765 Views
Nawatangazia dawa ya ugonjwa wa ngoz pamoja na minyoo bei yake ni shilling 6000=/hii ni dawa asili na ni ya kunywa
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Ndugu zngu wana jf napenda kuwatangazia kwa wale wote wenye tatizo la ugonjwa wa ngoz,mba na minyoo bas hii dawa ndo komesha ni dawa asili ambayo inasaidia kuondoa tatizo kwa haraka hvo bc...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini....Kwasasa kuhusu Tiba...Mambo yamebadirika....Clinical Medicine inaanza kupotea kwa Kasi na Clinical Imaging inakuja kwa kasi sanaa...!!! Hapa naamanisha kuwa Ukienda hospitalini vipimo...
4 Reactions
36 Replies
13K Views
Wanajamii forum,naomba mnisaidie kuna jambo linanitatiza,Je ni sahih kufanya mapenzi na mama anayenyonyesha! Kwa sababu kuna mila(kwa sababu sijapata ushahidi wa kisayansi) zinasema kuwa endapo...
1 Reactions
36 Replies
46K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…