Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu kama kichwa cha habari kilivojielekeza, naombeni msaada wa kujua hii ni dawa gani?
0 Reactions
18 Replies
11K Views
Greetings Jamiiforum; Let me share what i think with you; Okay; Hypothetically the reason the life expectancy is going up is because our immune system is getting better at filtering it...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau muwasho sehemu za siri zinaweza leta madhara kwa mwanamke?na kiuno kuuma akikaribia hedhi ,anaweza pata ujauzito?wenye hekima msifumbe macho msaada wenu tafadhali
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Heshima kwenu wataalamu..Aisee nimekuja kwa jamaa yangu hapa ana mdogo wake binti yuko form three anajikojilea..je kuna dawa ya kumsaidia? Namuonea mpaka huruma..
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari za weekend wakuu Poleni na hongereni kwa majukumu tafadhali naomba kujuzwa kama kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI endapo tu utakuwa umefanya mapenzi na mtu ambaye hujapima nae au...
0 Reactions
40 Replies
32K Views
Kutibu Athma lazima uache kula nyama nyekundu, uache kula sukari na kunywa maziwa kwa kipindi chote utakapokuwa unatibiwa. Dozi ni ya watu wazima sio watoto. Dozi ya kwanza Tutakupa vidonge vya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wana jamvi, mke wangu alikuwa anatumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa muda mrefu sana. Baadae aliacha kwa sababu tuliamua tutafute mtoto mwingine baada ya kujiridhisha kuwa ulikuwa wakati...
1 Reactions
35 Replies
22K Views
Habar wana jamvi,he inawezekana wana ndoa kuish bila kusex,pengine mmojawapo akawa na matatizo mfno jogoo hapandi mtungi,mke hanaga nyege kivile,n mkaweza kuishi miaka
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani dawa kichefuchefu ni nini
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Nipo kwenye mahusiano,na nina ndoto za kupata Mtoto wa kiume.Je,kuna uwezekano wa kufanikisha katika hili? Sijapendi kwenda hospital kwanza nimeamua nianze na mtandao mkubwa wa jamii forum ambao...
0 Reactions
15 Replies
20K Views
Ivi izi bima za afƴa unaweza pata huduma ya upasuaji mdogo wa appendix ...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Mimi nimesumbuliwa sana na Taifodi kwa mwaka sasa.Sasa nimeelekezwa kutumia dawa fulani na rafiki yangu kuwa naye ilimsaidia.Dawa inaitwa RIJAAL.Dawa hii imeandikwa kuwa ni ya kisuna,naomba mwenye...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Je kama ni kweli nini chanzo? Na tunafanyaje kukabiliana na ili tatizo asa kwa vizazi vijavyo.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
HIZI NDIO DAWA ZA HOSPITALINI ZINAZOUA NGUVU ZA KIUME Dawa zote zinazopatikana mahospitalini na maduka ya madawa zinaletwa kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali, japokua baadhi ya dawa hizo...
3 Reactions
37 Replies
17K Views
My first born 6yrs old diagnosed mental impaired Dear colleagues It's my please to share with you probably your advice would help me take the best approach to deal and help in development and...
0 Reactions
3 Replies
754 Views
Madawa ambayo yanaweza kusababishia uharibifu wa figo Kuna orodha ndefu ya madawa yanayotumiwa na binadamu ambayo yanaweza kuharibu figo, hizi ni aina tofauti za dawa ambazo zinaweza kuharibu...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Nahitaji hizi Dawa nimeangaika sijafanikiwa.Mwanzo aliyeniuzia Pharmacy kafunga na mimi nilinunua 1/2(nusu)Dose
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Salaam Doctors na wadau...ninatatizo la kuwashwa ilianza tumboni na miguuni na sasa matakoni na mapajani.Mara nyingi ikifika jioni ndio inaanza.Nimetumia dawa za allergy imegoma..nimetumia za...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Hellow jaman hivi kuna madhara yoyote kwa mama anaenyonyesha akitumia alcohol?
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Habarini,kama title inavyosema kwa anayehitaji acheki namba 0658008481 au 0625888448
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…