Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu ni matarajio yangu kuwa ni wazima!.. Nina swali laniumiza sana kichwa huu ya Yale mafuta yaliyomo ktk condom.Swali langu ni juu ya chemical content ya Yale mafuta...Nimeshawahi kuwauliza...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau nini dawa ya kumaliza hili tatizo.nimetumia magnesium na baadhi ya dawa lkn bado.watalam naombeni nini dawa na ushauri
1 Reactions
9 Replies
12K Views
Wakuu naomba kujuzwa kwani siku hizi nimejenga tabia ya kuamka alfajiri na kukimbia kilomita 10 mpaka 20 na leo ni siku ya nne. Je iwapo nimetoka kwenye tendo la ndoa muda huo naweza kuendelea na...
2 Reactions
22 Replies
7K Views
Je, muda gani ukipima maambukizi ya HIV utapata majibu ya uhakika maana wengine wanasema mara tatu yaan kila baada ya miez mitatu mpaka ifike mara tatu ndo unapata uhakika, NISAIDIENI DR.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana taaluma, Heri ya mwaka mpya. Kuna ndugu yangu ana tatizo ambalo ameshughulika nalo kupitia tiba mbadala lakini mafanikio bado. Ni kwamba hapati hamu ya kufanya tendo la ndoa, ingawaje...
1 Reactions
41 Replies
12K Views
Zinamsumbua mama. Naskia kuna dawa yakuzifuta kabsa. Sijawai kukosa jibu sitahiki jf
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Kushindwa kufanya jimai na ma habibty baada ya kusubiria kwa miezi ya ujauzito Siku nakutananae Nilishindwa kabisa masaada wadau
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Oi eti dawa ya fungus mapumbuni ni ipi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar zenu wanajukwaa Naomba kujuzwa athar zakwenda chumvini AU hakuna athar yeyote ?? Nakama zipo ni zipi? Maana shemejii yenu bila kumfanyia hvy nisawa na bure kabsaa hafiki kilele Napenda...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
wakuu, mimi na mkw wangu tumekuwa tukitafuta mtoto kwa mwaka wa pili sasa blila ya mafanikio. Tunafikiria kuonana na dactari atakaye tushauru nini cha kufanya pamoja na kutupima. Msaada wa jina la...
0 Reactions
17 Replies
21K Views
_UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?_ Katika mwili wa binadamu kuna vichocheo aina ya _Testosterone_ ambavyo hutolewa kwa malengo ya kuimarisha utendaji kazi wa ubongo,ufanye kazi katika hali...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Wapenzi wana jamiii, nimeona kwenye thread zilizopita watu wengi wakionesha kusumbuliwa na tatizo la fungus sehemu za Siri pamoja na mba wa kwenye ngozi (sio kwenye nywele). Nimeona ni bora kushea...
0 Reactions
23 Replies
21K Views
Jaman naomba kuuliza hv inaweza kuwa kweli kuugua nakupata dalili zinafanana na ukimwi na apime kila baada ya miez mitatu mara nne namaanisha mwaka mzima na matokeo kila kupima ni negative (HIV...
4 Reactions
72 Replies
13K Views
Wasalaam Niende moja kwa moja kwenye topiki. Iko hivi wanaJF kuna binti anasumbuliwa na kauvimbe kwenye eneo la nje la uke kwa chini kidogo. Uvimbe huu ni kama kaupele na upo ndan ya ngozi...
1 Reactions
18 Replies
18K Views
Nilianzisha uzi huo nikiwa nahitaji msaada wa mawazo kwa wadau ila ni watu wawili tu walo changia Sa nashindwa kuelewa ni wataalam hawapo ama kuna namna natakiwa kufanya kubust topic yangu...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
pregnancy. Mbali na hilo, mwanamke hupata maumivu sugu kwenye nyonga na ugonjwa wa mifupa arthritis aina ya Reiters syndrome. Vilevile, Chlamydia huweza kusababisha ugumba kwa mwanamke kama...
1 Reactions
1 Replies
8K Views
Baada ya hekaheka ya muda mrefu, hatimae sala zetu (pamoja na wana-JF) zimeleta mwanga. Jamaa yangu amepata msamaria wa kumsaidia na kwa uchunguzi wa awali - mambo ni mazuri. Niliweka imani yangu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, Mimi na familia yangu ya watu wanne kwa muda wa wiki tatu sasa tumekuwa na tatizo la kuwashwa mwilini . naomba msaada wa kunijuza nini inaweza ikawa sababu ya tatizo hili na kwa nini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Matokeo ndani ya siku 9. Salama kiafya na haraka Wasiliana. 0767759137
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…