Mpaka naandika hii post, nina siku kama nne sipati choo.
Nimejaribu kula matunda ila bado,
Msaada dawa gani au chakula gani naweza kutumia ili nipate choo laini.
Saikolojia ni moja ya Sayansi muhimu sana inayohusika na Ufahamu wa binadamu pamoja na akili...
Ubongo wa mwanadamu ni kiungo kiomoja very complex... Ubongo huo huo unaweza ukamuwezesha mtu, kuwa...
Hili tatuzi linekua likinisumbua kwa muda mrefu yani nikiwa kwenye gari naanza kupata kizunguzungu na maumivu ya kichwa hali hii inanifanya nichukie kusafiri.
Hii hali ikoje wadau?
Habari zenu ndugu zangu !bila kupoteza mda nijikite kwenye mada nimekuwa na tatizo la ngozi yangu kutokurleweka kwa mda mrefu ikiwemo kutokuwa na specific colour Mara mweupe Mara mweusi Mara...
Huyu mzee ni msaada wa taasisi ya umma. Kama mnavofahamu umri wa 65+ unakula na mengi. Ilikuja kugundulika mzee ana mamtatizo ya mapigo ya moyo na kisukari.
Kwa ushauri wa daktari matatizo haya...
Habari,
Naomba ushauri au tiba kwa sikio langu la kushoto lina wiki sasa halisikii vizuri yani lipo kama lina maji kwa ndani lakini halina maji nimejaribu kulisafisha kwa pamba halina uchafu...
Naomba msaada kwa yeyote anaye fahamu kifaa kinachotumika kupimia *Tympanogram* naweza nikakipata hospitali gan, gharama zake zikoje na je kama wanapokea bima nijue pia maana nilipata ajar sikio...
Khabari wana jukwaa.
Nina tatizo nikikaa nimetulia kuanzia dakika mbili au zaidi kidole (kidole kidogo kabisa au iinachofuata) cha mkono wa kushoto kinachezacheza, Hamna maumivu, imeanza kama...
Habarini wakuu
Mwezi January 2017 mke wangu aligundulika na tatizo la molar pregnancy akafanyiwa evacuation.
Then akaambiwa awe anapima kiwango cha HCG Kwa muda wa miezi 6-12
Zoezi likaanza chini...
Habari ya tarehe 28 wakuu, naomba mnisaidie kunifahamisha tafadhali, hivi inawezekana mwanamke akaingia kwenye siku zake siku moja na ya pili akawa amemaliza? Hali hii imenitokea mm hadi nikapata...
Ijumaa kareem wana MMU,
Hivi nisababu gani inaeza sababisha mwanamke asitoe yale maji maji ( lubricants) yanayosababisha dudu liingie vizuri na kiulani pangoni bila kuumizana? Ni hivi kuna mdada...
Eti wataalam wa J.f naomba mniweke sawa hapa kilo zangu ni 67 huu mwaka wa Tano haziongezeki wala kupungua....naomba kama kuna mtu imemtokea hivi aniambie ili nijue au zimestack ,Afya yangu ni...
Habari za wakati huu ndugu zangu namiini mko salama
Baba yangu mzazi ana tatizo ya kwamba akiumwa mafua basi damu huwa zinamtoka nyingi sana puani, hata sasa ninapoandika haya basi damu ndo...
Nina mzee wangu kanipigia simu anasema akitaka kukojoa mpaka ajikamue sana na mkojo unakuwa kama hautoki then anapata maumivu makali sana na anajiskia kukojoa mara nyingi kiasi ameshindwa ata...
Salaam wakuu,
Kama sio Jana au Juzi nilileta uzi hapa kuomba msaada dawa ya kuondoa maumivu kwenye dushelele baada ya kufululiza kumgegeda demu wangu. Cha ajabu hadi sasa mashine inasimama ovyo...