Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

naombeni msaada, mwanangu anaumwa umwa sana lakini kuna majirani zangu wameniambia atakua ana kimeo. Hvyo nataka kujua kwa kina kuhusu kimeo
0 Reactions
20 Replies
48K Views
Hellow wana jf, awali ya yote namshukuru mwenyezi MUNGU kwa kitupatia uzima na afya njema, pole kwa walio na hitilafu ya afya. kama kichwa tajwa hapo juu, Naombeni msaada nifanyaje meno yangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HIV
Hanvar zenu wanajamii naomba msaada wenu waawazo je ukishikwa sehemu uliochomwa sindano wakati bado damu inatoka kwenye mshipa na muathirika akikushika na kuusugua mshipa unaotoa damu kwa vidole...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu jmn.... hii dawa ya kuchoma kwenye mishipa kwa mjamzito kwa ajili ya uti ni salama? haiwezi kuleta madhara kwa mtoto. ujauzito ni wa wiki 28...
0 Reactions
31 Replies
18K Views
jamani bega na seheme ya mbavu vinauma mno, ajabu haya maumivu yanaonekana ni kitu kimoja na sasa sielewi sijui nimeumia bega au mbavu. msaada jamani
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu habari,,nimekuwa nikisikia watu wanasema kuwa ukishiriki ngono na mtu aliyeathirika na ukimwi,,ndan ya masaa 72 ukiwahi hospital na ukipata hiyo PEP,,,bas hatar ya kupata maabukiz inakuwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
habari wa ndugu, mke wangu ana ujauzito , ambao makisio ya kujifungua yalikuwa mwezi wa tatu tarehe 14, hata hivyo taarifa zakiliniki zilitushitua pale walipo sema kuwa katoto ni kadogo sana na...
0 Reactions
51 Replies
13K Views
Habari wanajamii forum kuna mtu juzi alikuwa mgonjwa sana akawa amepelekwa hospitali na alikuwa analalamika maumivu ya tumbo. Walimfanyia kipimo cha ultra sound kwa mujibu wake sasa wakasema...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Naomba msaada wenu,ni kwamba kwenye koradani zangukwa kuna vikoradani vingine vidogo katika korodani.katika koradani la kushuto kuna kakorodani kadogo kamejishikisha kwenye korodani kubwa na...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwa wale wenye kuhitaji tuwasiliane
0 Reactions
8 Replies
24K Views
Chanjo ya kwanza ya malaria duniani itafanyiwa majaribio katika nchi za Ghana, Kenya na Malawi kuanzia 2018. Chanjo hiyo inafundisha mfumo wa kinga ya mwili kushambulia vijidudu vya malaria...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Ningependa kufahamu effects za weed kama drug nyingine na how it affects the brain.Someone smoke it without experiencing any side èffects? Fact Attack One problem in sorting out fact...
0 Reactions
68 Replies
18K Views
Mimi nilijifungu miezi kumi iliyopita tangu nimejifungua ni ule mwenzi wa uzazi tu ndo niliona siku zaku baada ya hapo imekata mpaka sasa sijaona je hili ni tatizo au ni hali ya kawaida? nauliza...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Isiyokuwa na madhara yyte
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari za kuisoma namba wandungu mim naomba kuuliza mwanamke kama ametoka kwenye uzazi yani amejifungua anaweza kupata mimba tena bila kuingia kwenye hedhi?Na je anapata hedhi muda gan baada ya...
1 Reactions
12 Replies
41K Views
Rangi ya Shahawa ( sperm) unaweza kuwa ishara ya tatizo Fulani la Ki afya 1:whitish to gray color hii ndio rangi ya kawaida ya shahawa(normal sperm color) nyeupe 2:Yellow color- njano hii INA...
1 Reactions
7 Replies
22K Views
Habari wana JF Naomba kufahamishwa tofauti zilizopo kati ya Dispensary, Medical Centre na Health Centre kulingana na sheria na taratibu za Nchi pamoja na Wizara ya Afya. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Bandeji ambazo zinaweza kutambua jinsi kidonda kinavyopona na kutuma ujumbe kwa daktari itafanyiwa majaribio katika kipindi cha miezi 12 ijayo. Bandeji hizo zitatumia teknolojia ya 5G kufuatilia...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
) KUPITIA TIBAMBADALA Pumu au asthma ni katika magonjwa hatari ambayo tiba sahihi kwa wengi imekuwa ni kitendawili, lakini lishe mbadala ni jibu lake, kutokana na tafiti za wataalamu na wadau...
3 Reactions
5 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…