Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nikivipi mapigo ya moyo wa mtoto ambaye yuko tumboni yanaanza..? na pia nataka kujua mwanzo(kabla ya moyo kuanza kupiga pigo lake la mwanzo nini hufanyika mpk kuanza kudunda..?) nikivipi moyo...
1 Reactions
2 Replies
934 Views
Habari wandugu, Kuna mwanamke analazimisha mahusiano ya mimi na yeye tuwe pamoja na ikibidi nimuone. Ila cha kushangaza napokutana nae kupiga stori mbili tatu yeye anatoka kwenye point ya...
2 Reactions
51 Replies
8K Views
Mama mmoja ajulikanae kwa jina la Asma akitoa maelezo Leo(20/4/2017) katika kipindi cha power breakfast cha clouds FM,amelalamika kuibiwa mtoto wake mmoja baada ya kujifungua kwa operation katika...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Akizungumza moja kwa moja kutokea Ngorongoro ambapo wamewapokea Watangazi wa Kipindi ' maarufu ' kabisa cha Clouds tv 360 mmoja wa Wahifadhi wa Ngorongoro amesema kuwa ile ' harufu ' inayotokana...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari jf doctors. Nimekuja kwenu kuomba msaada, kuna jamaa Yangu amepata ajali na tetesi zinasema amepasuka macho yote mawili. Ninaombwa kujuzwa yafuatayo. 1. Macho yaliyopasuka yanaweza...
2 Reactions
3 Replies
818 Views
10 Surprising Foods That Kill Your Sex Life If you are not able to perform at your bed, then you and your partner are in from the worst sex session of your lives. There are a lot of...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu habari za muda, Kuna tatizo au jambo limetokea takribani mwezi wa pili sasa. Hali yenyewe ipo hivi, kuna muda nahisi damu yangu mwilini kucheza au kutikisika. Hii hali inaweza kutokea...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Tatizo la damu kuganda kwenye ubongo kwa mtoto husababishwana nini? Anayejua tafadhal naomba msaada kwani kuna mtoto amepoteza faham anapumua kwa mashine yaan kifupi hali yake ni mbaya. Madaktari...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau salaam, naomba kujua kuna rafiki yangu kapima uzazi kaambiwa erection transmitter ni 2.425 kama actual measurement value kwani je hapo atakuwa mgonjwa. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jaman nina mpenz wng mara nying hapend sana kufanya sex..,mda mwingine inabidi nmforce tu ila cha kushangaza akiwa hatak ht nimuandae vp kila nkjarb kuingiza pale kwny uke unakuta pameziba kabisa...
1 Reactions
73 Replies
14K Views
Habari za wakati huu wakuu?..km kichwa changu hapo kinavyosema.kuna dada mmoja ameniomba nimuulizie kwenu.yeye anavyojua ana siku 28 za mzunguko wa hedhi,lkn mara nyingi zinapita hizo siku ,na...
1 Reactions
21 Replies
28K Views
Wanabodi nataka kujua juu ya hili suala niongeze maarifa
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume limezidi kushika kasi na kuna mamia ya wanaume wanahangaika kutafuta suluhisho la tatizo lao ila wengi wao wameishia kutapeliwa tu bila kupata...
5 Reactions
80 Replies
16K Views
Wakuu habari ya jioni, Niende kwenye swali moja kwa moja, "Je inawezakana mwanamke akapata ujauzito kama atafanya mapenzi mara tu baada ya period kuisha? Mfano period imeisha usiku wa kuamkia...
3 Reactions
86 Replies
19K Views
A student from UCLA has just achieved the highest score in history on an IQ test designed by Mensa, and she claims her astonishing result is due to her daily ingestion of sperm. 26-year old...
1 Reactions
116 Replies
15K Views
Habar wanajamii forum. Nlikuwa nasikia maumivu ya vichomi, baadae maumivu ya mgogo. Baadae nyayo zikaanza kupata moto lkn kila nilipokuwa nikienda hospital tatizo halijulikan n nn napewa dawa tu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
The length of the three stages of menstrual cycle differ from one woman to the other and also from cycle to cycle, but the average duration would be 28 days . 1. The Pre-Ovulatory or The...
5 Reactions
1 Replies
2K Views
naomba msaada wa kujua nitumie cream gan kutoa fangas sehemu za siri
0 Reactions
4 Replies
665 Views
Wadau naombeni msaada kwa watu ambao washapitia hii experience. Nina mtoto wa dadangu mzito sana wa kuelewa darasani kiasi kwamba hadi walimu wanachoka kumfundisha yaani anaweza kufundishwa kitu...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…