Hallo wanajukwaa!kama tunavyojua Shinikizo la Damu(Hypertension) Haiwezi kutibika kabisa Zaidi ya kufuata Kanuni za Afya kama vile Ulaji mzuri,Kupunguza Chumvi&Mawazo,Kufanya Mazoezi na Pia...
"Uke bora ni Fahari ya Mwanamke na Furaha ya Mumewe"
Uke bora hautoi harufu mbaya, hauna fangasi si mgumu wala mlaini, una majimaji kiasi na pia una uchumvichumvi ulio wa kawaida.
Uke bora ni...
Hivi kuna ukweli wowote juu ya hawa Maoskofu kuwatibu watu virusi vya H.I.V mara nyingi nimekuwa nikiwashuhudia watu wakidai kuwa walikuwa na virusi na baada ya maombi wakapoa kabisa!
jaman wataalam nisaidieni mtoto wangu anawiki mbili lkn analia sana ananyonya kidogo anaendelea kulia, pia anakula vidole nisaidieni wengine wanasema maziwa ya mama labda mepesi hashibi sielewi...
Jirani yangu anaomba msaada kuhusu binti yake mwenye umri wa miaka 13.
Anasema alivunja ungo October mwaka jana, akaendelea kama kawaida mpaka January 5 tena akaona siku kama kawaida.
Baada ya...
Heri wana jukwaa,
Nina swali la kuuliza.Ile damu ya hedhi ya wanawake,
1. Ina uhusiano wowote na damu ya mwilini? Maana wengine inatoka mpaka unamhurumia,namaanisha kama ikitoka sana hawezi...
Ndugu zangu Wa JF naomba msaada kwa ambae nafahamu juu ya hili.
Mtoto wangu alikuwa anaumwa na Sikio,lilikuwa likitoa Usaha,March 13 tukampeleka kwa Doctor akampatia Dawa,moja ya kuweka kwenye...
Mtoto wa kiume miezi 10, sasa hapendi Kula zaidi ya kunyonya na uzito haongezeki ni miez 3 constant anamaintain, nimeshabadili vyakula hadi basi, multivitamin sijaoba mabadiliko, sasa vipi
OKOA MWANAMKE ASIFANYE MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE(kufirwa).
Tuwasaidie wanawake wanao lazimishwa na waume zao au wachumba zao kufanya ngono kubwa(kinyume na maumbile), kwani wengi wanapata...
Habari wanajamvi
Leo wkt nipo job kuna rafiki yangu aliniambia kwamba toka Jana uume umesimama na anapata maumivu makali, nini chanzo cha hilo tatizo?
UPDATE
Kuna MTU alimshauri akajimwagie maji...
Habar za mda huu wanajamv, naomba msaada....., huwa napata maumivu makal baada ya kumaliza tendo la ndoa , mwenye kufahamu hali hii inasababishwa na nn anisaidie
Ndugu zangu,
Kuna tatizo mimi limenipata juzi, wakati najaribu kuinua mzigo dukani hivi kutoka chini kama wa kilo 15 hivi, nikasikia kitu mgongoni kama kimechoma hivi, basi tangu hapo mgongo...
Wakuu kichwa cha habari kinajieleza.Nataka kujua na muda wanaopatikana, kama kuna foleni sana pia si vibaya nikajua na gharama zao.Natanguliza shukrani zangu.
Wakuu bila kuchelewa na kumung'unya mate na maneno midomoni, nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kutoka kwenu, bila mzaha wala jokes, kikubwa zaidi nilikuwa naomba mnishauri dawa ya kutibu...