Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wanajamiiforums Mrs anableed mwezi wa pili sasa tokea apate ujauzito na ni kitu ambacho si cha kawaida msaada wenu wapi nitapata tiba nzuri tuko mwanza.
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakuu habarini, Mimi siyo mtaalamu wa AFYA bali ni mdau tu wa Afya. Leo napenda kuwakumbusha ndugu zangu tuwe na utaratibu wa kunywa dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu. Ahsanteni natumai...
2 Reactions
26 Replies
13K Views
Wiki kama moja niliomba msaada kuhusu ugonjwa nashukuru mlinipa ushauri na niliutendea kazi vizuri sana kwani nilienda hospitali nikapewa dawa nikaanza kutumia nashukuru Mungu nilipona ila wakati...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana jamvi naomba msaada, Miaka yote mkewangu alikuwa anakula samaki na dagaa ila ghafla imetokea siku moja dada wa kazi alipika dagaa ss sijui ilikuwaje mkewangu alipokula tumbo lilimsubua hadi...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Habari zenu Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi...
3 Reactions
78 Replies
15K Views
Hodi wanajf, kama kichwa cha taarifa kinavyojieleza. Napenda kujua nini huwa tatizo kwa baadhi ya watu kushindwa kula nyama kama ya mbuzi na ng'ombe, na endapo watakula basi hupata matatizo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za jumapili wana jukwaa. Kwa wale walio wakristu nawatakia maandalizi mema kwa kuanza juma kuu ikiwa leo ni jumapili ya matawi na jumapili ya mwisho ya kwaresma kuelekea sikukuu ya Pasaka...
0 Reactions
17 Replies
19K Views
Toxic chemicals used to fireproof sofas and mattresses have caused a surge in thyroid cancer, experts warn. Flame retardants are feared to be making families ill after being exposed to them...
0 Reactions
1 Replies
573 Views
Jamani nahitaj kupimaaa kiukwl afya yang mbovuuu hapa legency na mnaz mmja watu wengiii
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu?najitokeza kwa upande huu ikiwa ni mara yangu ya kwanza nauliza hivi..nikipindi gan hasa mama aliejifungua anaweza kushika ujauzito? Nipo kwenye contradictinlon kubwa...
0 Reactions
6 Replies
17K Views
Do you know people with physical disability can get a walking assisting devices here in Tanzania? This called orthopedic technology services are available, although at few health facilities. The...
0 Reactions
1 Replies
573 Views
wakuu heshima kwenu, nina miaka 30 sasa, tatzo langu ni kuwa toka utotoni ulimi wangu una mipasuko haupo smooth kama kwa watu wengine! sipati maumivu yeyote, nilikuwa najiona kuwa ni kawaida tu na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nasumbuliwa na muwasho kwenye pua ,maskio, macho na koo na nnapga chafya xana naombeni tu muniambie dawa mdamwngne cpati ucngz kbxa
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Salamu. Naomba anayejua namna au sifa za kuanzisha kituo cha afya cha binafsi anijuz. Hapa nataka kujua hasa sifa za kielimu na uzoefu. Asante kwa yeyote atakaye nisaidia Mungu awajaalie.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Msaada jamani mke wng ameanza kusumbuliwa na tatizo la presha ya kushuka takriban wiki ya tatu sasa,Mara nyingi uhisi kichwa kuuma sana,hivyo alishauriwa awe anakunywa coca cola au kahawa,na yeye...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari za wakati huu, kichwa cha habari hapo juu chahusika! Ninahitaji majibu na ushauri kutoka wataalamu kama hufahamu kaa kimya.
7 Reactions
250 Replies
35K Views
Tatizo la madawa ya kulevya limetokea kuwa janga kubwa duniani kote, watu wengi wameathirika na janga hili. jinsia zote wanaume, wanawake, na vilevile rika zote vijana na wazee pia. Hapa...
0 Reactions
1 Replies
26K Views
Salamu zangu kwa wote humu ndani, mimi ni kijana wa kiume nina miaka 25, nakumbuka mwaka jana kwenye mwezi wa 10 ivi nilipatwa na tatizo la UTI ambalo lilinishtua kidogo kwasababu sikuwahi kuumwa...
2 Reactions
102 Replies
26K Views
Salaam waungwana Jamani mwenzenu nasumbuliwa na maumivu makali mwilini Jana nilienda hospital kupima Malaria na Typhod lakini vyote hivyo sikuwa nasumbuliwa navyo lakini bado mwili waniuma vibaya...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimeulizwa swali hili,kuwashwa kwa chuchu na mwili kusisimka kwa mwanamke ni mimba au hamu tu?
0 Reactions
7 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…