Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu. Kuna kijana anaumwa miguu yaani visigino vinauma sana yaani zinawaka moto hadi kutembea anatumia vidole. Je chanzo ni nini na tiba yake ni ipi? Asante
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Kima cha wastani mwanaume unatakia utumie dakika ngapi kufika kileleni
1 Reactions
22 Replies
4K Views
eti wanajamii vipi dalili za HIV zinaweza kuwa kutokwa na vipele vinavyowashaa saana miguuni na mikononi au vipi yaani zile dalili za mwanzo (ARS)
1 Reactions
28 Replies
13K Views
Habari zenu wanabodi, Kwa miaka ya hivi karibuni nimekuwa napenda sana kuwa peke yangu. Iwe kazini, shuleni (nasoma chuo), kwenye sherehe, nyumbani au sehem yoyote ile. Hata nikiwa na mgeni home...
10 Reactions
177 Replies
18K Views
Habari za muda huu wana jukwaa la afya! Kwa wiki kama mbili nimekuwa nikikabiliwa na tatizo la mafua,baada ya kutumia dawa aina ya Piriton(mafua yamepoa),lakini hivi karibuni kamasi zimekuwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mmeamkaje wandugu usiku mzima leo sijalala kwa raha kutokana na maumivu ya jino, jino lenyewe limetoboka. Ushauri wenu nikienda kuliziba maumivu yataisha au nikaling'oe tu?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mtu mwenye VVU ambaye tayar anatumia dozi anaweza kufanyiwa utrasound ya tumbo ama yoyote ile?maana kimtaani wanasema utrasound inapunguza siku zakuishi.
0 Reactions
5 Replies
918 Views
Habari Mi na mrs tunatumia kalender method kama njia ya uzazi wa mpango, tunamwaka sasa tukitumia njia hii kwa ufanisi. Changamoto: Hivi Karibuni siku zake za hedhi zimekuwa zikibadilika badilika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar ya mchana ndugu zangu. Naomba kufahamu inachukuwa muda gani tangu mwanamke ajifingue hadi anapoanza tena ovulation. Au ni muda gani tangu mwanamke ajifungue unapita hadi pale anapoweza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mmeamkaje wandugu usiku mzima leo sijalala kwa raha kutokana na maumivu ya jino,jino lenyewe limetoboka.Ushauri wenu nikienda kuliziba maumivu yataisha au nikaling'oe tu?
1 Reactions
2 Replies
558 Views
Nimeangalia chombo kimoja cha habari leo kati ya habari zao leo ni Vifo vya watu 200 kutoka Nigeria vikiwa vimesababishwa na Homa ya uti wa mgongo(meningitis) Meningitis ni Ugonjwa unaoshambulia...
2 Reactions
9 Replies
10K Views
NAMNA YA KUKABILI HARUFU MBAYA YA MIGUUNI. Ukigundua una tatizo hili, hakikisha unasafisha miguu yako mara kwa mara ukiiacha mikavu muda wote ili kuepusha unyevunyevu. Miguu kutoa harufu mbaya...
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Jana mdogo wangu kaleta hii soda. Akawa ananishawishi niionje na akanieleza kwamba sio kama soda za tonic water nyingine. Hii ni tamu. Nikaona niisome ingredients zake. Nkatekewa kuona kwinini...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
habari jamani kwa nn vijani hatupigi story jinsi tunavyo zitumia condom na kwa nn tunasimulia tunavyo pata madem......je kuna picha gani hapo jicho la 3
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu,mimi ni mwanaume.nimekuwa na tatizo la kutokuwa na nywele nyeusi zilizokolea vizuri.nywele zangu zinakuwa na rangi kama nyekundu vile so zimekuwa zikininyima raha.sasa wakuu...
0 Reactions
15 Replies
40K Views
Habarini wana Jf. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza napenda kufahamu njia za kutambua jinsia ya mtoto kupitia mama Mjamzito kabla ya kujifungua tofauti na ULTRASOUNDS maana mimba bado ni...
0 Reactions
9 Replies
20K Views
Naomba msaada wa visababishi, tiba na namna ya kuzuia. Nimeugua miaka minne sasa natumia dawa siponi. Kila nikienda hospitali napigwa exray na napewa dawa siponi, sa zingine natoa jasho jingi ila...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu na wataalam wa mambo ya Afya naombeni kujuzwa. Kwa mtu mwenye mke anayenyonyesha mtoto, mume anaruhusiwa kunyonya ziwa la mkewe baada ya mda gani?
1 Reactions
60 Replies
18K Views
Choroko ni zao tunalolitumia sehemu nyingi, wengi tunakula choroko kama kitweo. Kupata ubora wa ziada katika choroko ni kula na kimelea, katika halii hii unapata protein kwa ubora wake. Hii pia...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Em tupeane ushauri kidogo.. Unafanya kitu gan kupunguz hamu ya kufanya mapenzi,?? Naomb kufahamishwa nijue njia safe za kukabiriana na changamoto hii. maana sasa imeshakua too much..
0 Reactions
4 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…