Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jaman directly katika tatzo langu ni kuwa wiki ya tatu hii sipati choo...ukilinganisha na ndonga ninayokula . nikijitahidi sana kias kidogo sana hata kidole cha mwisho kikubwa..tumbo haliumi na...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Yule daktari aliyehatarisha maisha ya wananchi wa Mbeya kwa kujiita Dr. bingwa wa magonjwa ya moyo, ambaye aliondolewa kwa nguvu ya kalamu ya mwandishi, sasa ameibukia Morogoro. Dr. huyo...
1 Reactions
34 Replies
15K Views
Mimi ni mtu mzima over 50, kwa miezi miwili sasa mkono wangu wa kulia hauna nguvu yaani huwa nashindwa hata kupeleka chakula mdomoni mpaka niusaidie. Inakuwa tabu hata kuvaa shati au fulana, pia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni njia gan zinaweza kunisaidia kuboost dopamine production kwenye brain yng plz msaada
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wataalamu wa afya na uzazi..nielekezeni namna ya kupata mapacha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Takribani wiki moja sasa imepita nimekuwa nikikabiliwa na tatizo la maumivu ya magoti,hali hii imesabababishwa na mazoezi ya kukimbia kila siku asubuhi uwanjani katika jitihada...
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Habari zenu wana JF ,Ni mimi mwenyewe nilfanya huu utafiti, ilikuwa mwaka 1994 nilikuwa na kitambi kidogo na nilikuwa nakunywa beer 3 karibu kila siku kwa kweli kiliongezeka. Nakumbuka niliacha...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Hellow wapendwa,msaada unahitajika hapa nikishika tu simu mkono unakufa ganzi tatizo ni nini?
0 Reactions
5 Replies
930 Views
Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
3 Reactions
270 Replies
24K Views
Mimi ni mvulana umri 26. Kila ninapofanya ngono na msichana huwa natumia muda mrefu kufika kileleni na nikishakojoa huwa natokwa na jasho sana, wakati mwingine kichwa kinauma sana pembeni mwa...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Wakuu habari za mchana Napenda kuuliza: Je kuna ugonjwa wa wasi wasi au hofu? Maana mda mwingi nakaa na kuwa na wasi wasi au hofu kama kuna kitu kina kuja kunitokea hivi!!! Na kama ni uginjwa...
1 Reactions
41 Replies
15K Views
Habari wanadau naomba ushauri. Nina mtoto wa ndugu yangu ana miaka 3 ni wa kiume. Alikuwa anatembea na kukimbia vizuri ghafla ameacha kutembea akitembea hatua moja ana dondoka na hawezi kaa Muda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nikiwa natarajia kupata mtoto wa tatu na wa mwisho.. Tumeshtushwa na ujauzito kupitiliza miezi kumi kwani kwa mara ya mwisho wife kwenda kwenye siku zake ilikuwa may 20 ambapo...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Jaman waungwana hebu nisaidieni nilimgegeda Demu mmoja mda mrefu baada ya tendo kuisha nikaanza kusikia kizunguzungu hapohapo hii week ya sita sasa inaelekea ya saba homa macho mazito na ninahisi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nashukuru kwa members wa jf doctor kwa msaada wanaoutoa kwa post kwa watu wote mimi ni kijana wa kiume(26) nina tatizo la kutokusimamisha uume niamkapo asubuhi, hali hii nimekuwa nayo kwa sasa...
0 Reactions
20 Replies
12K Views
NI RAHISI KUPATA UKIMWI & GONO KAMA UNA GOVI. WANAWAKE WASHAURINI WAUME ZENU&MABWANA ZENU. Wanaume wengi hupata maambukizi ya UKIMWI kwa urahisi kutokana na maumbile ya uume kama hayajatahiriwa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
je condom ni njia sahihi ya kujikinga na maambukizi ya magonjwa mbalimbali.............maoni
1 Reactions
40 Replies
8K Views
Habari za kutwa nzima ndugu zangu. Niko na mtoto wangu wa kike wa miezi mitatu lakini cha kusikitisha tangia aje duniani kuna harufu ambayo si ya kawaida ambayo inakuwa inatoka sehemu ya siri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF. Naombeni ushauri ninatatizo la kucha za vidole gumba toka mwaka 2015 October. Nimeshazunguka hospital nyingi hapa Dar es salaam na hata kufanyiwa upasuaji mdogo lakini tatizo...
0 Reactions
26 Replies
12K Views
Jamani wana jamii forum Mimi ninatatizo moja nikiwa ananza kusex nahisi damu inapanga kichwani yaani mishipa yote ya kichwa inakuwa imesimama, hali hiyo inanifanya nakosa na hamu ya kuendelea na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…