Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja katika mahusiano wiki tatu nyuma tukasex nilivyomaliza kusex tu naye mida ya jioni nilikuwa nikienda kukujoa nahisi maumivu makali ila baada ya siku mbili...
Wakuu habari za w,keend.
Wandugu naombeni msaada nasumbuliwa na presha ya kushuka, nina ujauzito wa miezi7 nimeenda hospital nimeambiwa nina presha ya kushuka.
Naombeni msaada kwa anaefaham...
Habar zenu,
mim mara nying najikut matundu ya pua huwa yanaziba na vijidonge donge, vdogo vidogo, vya makamasi vilivyokaukia ndan ya pua, alafu vinakuw vigumu kutok hata ukifanya kama unapenga...
Nina rafiki yangu wa karibu amekuja kuniuliza ni nini sababu ya kupata ukurutu kwenye mfuko wa korodani halafu zinamuwasha pindi zinapopata joto na anasema kipinidi anapooga na akizikausha kwa...
Habari wakuu! Mke wangu amejifungua mtoto Wa kiume tangu tarehe 2 mwezi huu Wa Tatu.
Ila mtoto tangu amezaliwa hafumbui macho, hawezi kunyonya, hatikisiki yaani viungo vya mkono na miguu...
WANAUME wanaotumia muda wa saa tatu na zaidi kwa siku kutazama runinga wanapoteza nguvu za kiume ukilinganisha na wale wanaotazama runinga mara chache.
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya...
Habari zenu.
Naomba kupatiwa ufafanuzi mimi ni mjamzito sasa kwa muda si mrefu saana nona vitu vinapita kwenye macho kama mistari isiyo na shepu ( eye floaters) nimeenda kwa gyno zaidi ya mara...
Habari Jf
Hii ni kwa mmililki au anayemfahamu mmiliki wa dispensary, inaitajika sehemu ndogo ya eneo au chumba ndani ya dispensary,, kwa huduma ya specialist consultation ambayo itakuwa kama...
Habari za majukumu wakuu...
nipo na tatizo katika mguu wangu (nyuma ya goti) nina uvimbe fulan hv na mishipa kama imevimba hv... huwa panauma nikitembea umbali mrefu, nikikimbia, au nikijamiana...
Salaam wana jf naomba nianze kutoa maelezo kidogo.
Nina mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne(4yrs) mwaka wa jana alikuwa baby class na maendeleo yake shuleni yalikuwa mazuri tu.
Lakini cha...