Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

hi kwa wote, naomba kuulizia tiba ya ugongwa unaowapata wanaume ambao unaitwa pearly penile papulace. Kwa kifupi unakuwa na vipele kuzunguka kichwa cha uume na hauambukizi na wala sio ugonjwa wa...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Mimi si mtaalamu wa maswala ya tiba, ila kwa ufahamu wangu nafikiri zipo njia mbali mbali za kupima kama mtu ana maambukizo ya HIV. Njia ambayo nafikiri tunaitumia sana ni ile ya kupima chemical...
0 Reactions
9 Replies
22K Views
Napenda tu kujua, hivi zaidi ya ule utaratibu wa kupitisha kidole sehemu ya haja kubwa ambao wanaume wengi huwa hatuupendi na kuona kama ni fedheha, kuna njia nyingine ambayo hutumika katika...
2 Reactions
12 Replies
6K Views
Inakuaje mpaka kiumbe kinapo tokwa na uhai wake na kukaa kwa mda flan katika joto la kawaida la nchi kinajenga aina Fulani ya funza katika nyam
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Khabar wadau, naombeni msaada, sikio langu limeziba sio maji nadhani ni wax. Nimejaribu kuperuzi sijapata way out sana sana wanasema nisitumie cotton wool na nilichowaza kutumia kwanza.. Mwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Juzi nimepeleka mgonjwa wangu hospital nilifika kwa Dr. Nikamweleza kinachomsumbua mgonjwa nikaandikiwa dawa kwenda dirishani dawa hakuna. Miongoni mwao kuna muuguzi anaduka la dawa akaniambia...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Wanajamv habarin,,,mwenzenu soon nataraji kuitwa baba sasa nimekuwa na tabia kila mara nashika shika tumbo la wife. Kila mara nataka kuangalia mtoto amekaaje somtimes inatokea nakagusa mpaka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu. Nimefanya mapenz katika siku za hatari ila jamaa alimwaga nje sasa ni wiki imepita naskia tumbo linauma na chuchu zinauma ingawa matiti hayajavimba. Je inaweza ikawa ni mimba?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wana jamvi! Naomba msaada kujua wale ma specialist wa magonjwa ya kike wanasoma field gani au mtu akienda diploma anabase kwenye masomo(programe) gani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
(ngoja niseme maana wanaume wengine wanaona aibu kusema) Ukweli ni kwamba uke uliolegea hupunguza ladha ya tendo la ndoa kwa wanaume wengi Tatizo la uke kulegea au kutepeta ni tatizo...
4 Reactions
115 Replies
66K Views
Kama alivyoagiza Mh Rais tusijadili watu tujadili maendeleo, ktk utekelezaji wa azimio Na kauli ya Rais wetu Mpendwa, napenda nitimize ahadi hio, Wananchi wengi ktk nchi yetu wanakosa ustadi wa...
7 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa Dr mzizimkavu Kuna aliyewahi kupona atupe mrejesho wakuu au mwenye nadharia inayofanana na dawa hii ya ukimwi"mkojo".
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Wahenga walisema "Mficha uchi hazai". Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la...
14 Reactions
290 Replies
35K Views
madokta wa jf pamoja na wadau wengine hivi nasikia unywaji wa maziwa mtindi na fresh mara kwa mara kwa wanaume unasababisha ugonjwa wa tezi dume naombeni ufafanuzi
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wana Jf naomba mnijuze, Hivi mwanaume anapo fanya tendo la ndoa na mke akiwa hayupo kwenye siku za kupata ujauzito spam huwa zinaenda wapi, hufanya kazi gani huko zinakoenda na zina kaa kwa muda...
1 Reactions
46 Replies
12K Views
Habari,naomba kujua yafuatayo kuhusu mtoto mchanga Mtoto mchanga anatakiwa apate choo mara ngapi kwa siku? Mtoto mchanga anatakiwa aoge mara ngap kwa siku? Mtoto mchanga kutapika mdomon na mengine...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
wanajamii naomben kufaham kitu nna tatzo la maskio tangu mdogo n karbu miaka ishrn sasa lakin hv karbun tatizo limeanza kuongezeka siku hadi siku nmeenda hospital nmepewa dawa lakn haijasaidia ila...
0 Reactions
2 Replies
728 Views
Wana JF, nasumbuliwa na maleria ya mara kwa mara, nina 95 kgs, natumia artmether inj. au quinine inj.3 namalizia ALU
1 Reactions
31 Replies
9K Views
Samahani wana JF Naomba kuuliza kidogo Kila baada ya siku mbili au moja napendelea kunywa kahawa vikombe 3 adi 4 sasa Tatizo langu kila nikinywa baada kama ya saa 1 au zaid Najiona kama nimelewa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf Leo nikiwa safarini kivukoni nimemgusa mama mwenye ukoma wakati namsaidia pesa, Je kuna athari zozote ambazo naweza kupata kutokana na mgusano huo?
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…