habari Wana Jamii doctor naomba msaada juu ya hili swala kuna dada moja anahisi maumivu ya tumbo juu ya maeneo ya kitovuni ni kwa mda mrefu
pia anahisi kutapika Mara kadhaa cjui tatizo ni nini...
Mimi binafsi naskiaga wanaongelewa ILA Sijawahi kutana na mmoja,ivi wapo kweli hawa watu???na unaambiwa both organs zinafanya kazi!sasa sijui kma ana ya kike na ya kiume anaweza kujiridhisha...
Shida yangu ni kila nikifanya tendo korodani moja ya kushoto inauma sana hasa baada ya kumaliza tendo yaani nikisha kojoa, hii hunipelekea mpaka sitamani tena kufanya tendo wakati mwingine naweza...
naomba kuuliza hivi mtoto anatakiwa ajisaidie haja kubwa kwa muda gani baada ya kuzaliwa?? maana kunamtoto kazaliwa na bado hajanyonya wala kula chochote lakini kapata choo tena mara mbili ndani...
HALLO!Wanajukwaaa Msaada juu ya hili.Kuna uwezekano wa Majibu ya Malaria Rapid Diagnostic Test (MRDT) na Blood Slide for Malaria(BS) Nazungumzia kwa Darubini Yakawa Tofauti.?
Mfano ukapima Mrdt...
Have you ever had a dream in which you are grinding your teeth and it is excruciatingly painful and disturbing ila ukiamka unakuta kwamba it was all just a dream and your teeth are fine?
This...
Malaria ni nini? Malaria ni ugonjwa wa kuambukizana unaoletwa na chembe chembe zinazoitwa plasmodium.Chembe chembe hizi huingia ndani ya mwili wa binadamu baada ya kuumwa na mbu wa kike kwa jina...
Kwa heshima kubwa naomba msaada wa kuelimishwa hii kitu nimekuwa nikiisikia huku mitaa lakini sijapata kujua hasa ni kitu gani?mara ooh inasumbua kwenye uzazi(wamasai wamekuwa wakiuza sana dawa za...
Ndugu zangu mi nilipata ajari ya moto nikatibiwa hospital baada ya kupata nafuu niakaruhusuwa ila nilikua na kidonda nyuma ya mguu kwenye msuri nimejitaidi sana ila mpaka leo hakijapona kina...
WanaJF kama somo linavyosema hapo juu, ninapokuwa mjamzito huwa Napata maumivu makali ya mgongo/kiuno japo sio mara kwa mara. Naweza kuumwa mara moja kwa wiki au mara mbili. Na hayo maumivu ndio...
Wasalamu wa Jf natumaini wote mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli mbalimbali za kulijenga taifa.... bila kupoteza wakati kama kichwa cha habari kinapojieleza hapo juu twende moja moja kwenye...
Habari vipi JF members?
Naomba msaada jamani!
Hii hali inaniboa sana, Mara nyingi dushe linasimama kila mara tangu nikiwa chekechea uhame umekuwa unasimama muda wote na hata ningefanya mapenzi...
Jambo wadau.
Kuna mwanamke akihesabu tarehe za ujauzito wake mpaka leo ni wiki ya 27 na akiwa na wiki 8 alivyopiga utrasound ilisoma wiki 8 sawa sawa na hesabu zake za last period.
Sasa kuanzia...
Wadau habari zenu!
Kuna tatizo huwa linanikuta hasa kipindi cha joto Kali.
Ni kwamba kuna vipele natokea kwenye uume huwa vinaanza kuwasha kidogo mara nyingi kinatokea kimoja au viwili na muda...
Wasalaam wana jukwaa hili
Mimi ni kijana wa miaka 26,mwaka jana nilianzisha mahusiano na msichana ambaye tulijuana siku nyingi sana kama marafiki,ilikua June
Ilipofika mwezi wa 11 alipata...