Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hello my MMU mates Wadau kila nikiliangalia hili paipu langu tangu nikate govi naona limezidi kuwa kubwa. Hapo Kabla ya tohara lilikuwa si haba hadi baadhi ya totos walikuwa wana-cancel mechi...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari kama Kichwa kilivyo Naomba kujua hospital ya private Au laboratory ambayo naweza inaaminika Lakini gharama zake ni za Mtanzania wa kipato cha chini(kawaida)
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za wakati huu madaktari wa JF? Tafadhali naomba msaada wa haraka, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 ninasumbuliwa na ugonjwa wa hernia kwa muda mrefu japo dalili nimezibaini November...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Nasumbuliwa na ugonjwa wa meno kuna meno mawili siku moja nilinunua bites uswahilini nilitafuna bahati mbaya yule mama bites zake zilikuwa na mawe, nilivyotafuta niliumia sana jino likaanza kuhisi...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Hii guys nahitaj kujua kama kuna madhara ya kufanya mapenz Mara nying.... Let say labda kwa week unasex for 4 days je inaweza leta madhara! Kwa mwanaume?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
kwa wanaojua ada ya kusoma muhimbili diploma ya medical lab msaada hapo
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Wakuu kama heading inavyosema. Msaada wenu unahitajika Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
2K Views
DAWA ZA AINA 10 ZISIZO SALAMA KWA MAMA MJA MZITO KUTUMIA Leo tutaangalia dawa ambazo jamii yetu hupenda sana kuzitumia lakini bahati mbaya baadhi ya dawa hizo hazitakiwi kupewa kwa wajawazito...
4 Reactions
9 Replies
55K Views
Although many varieties of amaranth are considered a weed, there are some varieties in the genus that are cultivated as leafy vegetables and types of cereal grain, as well as for the perennial...
2 Reactions
29 Replies
11K Views
KWA UFUPI Daktari bingwa wa uchunguzi wa magonjwa ya saratani katika Kitengo cha Patholojia, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk Henry Mwakyoma na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani katika...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wanajanvi, Sory, je inachukua muda gani mwanamke kupata mimba baada ya mimba kuharibika?
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Natamani sana kupungua nina kg 94 sipungui toka mwaka jana. Sili msosi mkubwa nakunywa majuice sana natengeneza mwenyewe naweka karoti embe, beetroot tangawizi na parachichi nakula na msosi...
7 Reactions
94 Replies
11K Views
habari zenu wana JF diploma ya medical lab muhumbili ada yake ni sh. ngap msaada wenu wana JF
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Wadau naomba mnifahamishe nataka kujua. Schizophrenia ni nini na wanatambulika vipi watu waliokuwa nayo hapa duniani? Mnamo tarehe 06/06/2006 nilipata maono nikiwa kule UESPANYA. Maono ya...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
Wadau nataka kujua ukishasex kama umepata mimba baada ya siku ngapi utahisi mabadiliko ya mwili?
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Jamani naombeni msaada wenu, Mimi nikila denda kwa msichana wangu lazima asubuhi niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi. Sijajua tatizo nini, kwa anayejua...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu Nina tatizo la magoti yangu yanakuwa Kama yanawaka moto wakati nimetulia. Lakini wakati naendelea na shughuli zangu sisikii hilo tatizo. Je tiba yake n nini hasa
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wadau naomba msaada mke wangu anasumbuliwa na PCOS Ni mwaka wa tano sasa anaweza vidonge bila mafanikio katika hospital tofauti. Naomba mwenye experience na hili tatizo, Je opesheni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Habari Kuna Swali Natak Kuuliza Mwanaume kufanya Mapenzi na Mwanamke Aliyeko Period kbs kunaweza kusababisha mwanamke kushika Ujauzito??? cc12
0 Reactions
22 Replies
19K Views
Mwanaume akizeeka huota upala lakini kwa upande wa mwanamke hali ni tofauti kwanini? Mwenye ufahamu naomba anifafanulie mimi na wenzangu ambao hawana ufahamu juu ya hili swala.
0 Reactions
3 Replies
779 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…