Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wadau: Kila siku asubuhi nikiamka mgegedo wangu huwa unasimama hadi unakuwa mgumu sana halafu unauma sana, Hali hiyo hudumu kwa takribani dakika arobaini hivi halafu inaondoka, dawa Yake ni...
0 Reactions
72 Replies
14K Views
Ni jambo la busara kujitunza wewe na mwanao. Kutunza mtoto wako linaweza kuwa jambo la kukufurahisha, lakini ni kazi ngumu. Utampatia mtoto chakula/utamlisha mtoto mara ngapi na baada ua wakati...
2 Reactions
63 Replies
26K Views
FAIDA ZA JUISI ZA MATUNDA KIAFYA JUISI YA MCHANGANYIKO WA NDIZI NA CHUNGWA: Chukua ndizi kama mbili au zinazotosha kutengenezea kiasi cha juisi upendacho na chungwa au machungwa. Kisha osha...
4 Reactions
17 Replies
17K Views
Habari wanajukwaa: Kama kichwa kinavyoeleza, nimeingiwa na wasiwasi huo baada ya tatizo lililoikumba ndoa yangu. Tatizo hilo lilianza baada ya kuoa binti mwenye kundi la damu o- negative na Mimi...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimekuwa kama nina addiction ya kutumia magic powder kwa kunyolea maana inafanya kidevu kiteleze na haileti vipele, sasa nauliza kama kuna madhara yoyote kuitumia mara kwa mara, na kama yapo ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habar za jioni jamani! Mimi nasumbuliwa sana na tumbo, nikila chakula utadhani nimekula kokoto ( tumbo lina choma) halaf nasweat sana ( natokwa na jasho sana), mwili kukisa nguvu wakat mwingine...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna Mdada Mdogo Anasumbuliwa na Tumbo kwa Muda Sana Japo ameshafanya vipimo na kunywa madawa mengi tu lakini hali yake sio nzuri....Kiufupi Alianza kua Anaishiwa Damu hasa akiingia MP zake hadi...
0 Reactions
1 Replies
934 Views
Habar wanajamvi naombeni msaada, mapenzi wangu ameanza kupata tatizo la Kutetemeka ziwa la kulia na wiki sasa tokea tatizo hilo lianze na linatetemeka mpaka nguo ya juu inaonyesha kama...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana jukwaa, samahani nina tatizo naombeni mnisaidie zimepita siku kama nne hivi nilisikia masikio yangu yanawasha sana nikaamua kuchukua pamba na kusafisha. nilipomaliza...
0 Reactions
3 Replies
17K Views
Habari za jioni ndugu zangu wana JF.yapata miezi miwili mpaka sasa nasumbuliwa na tatizo la kutokwa na damu kwenye meno hili tatizo linanipata kila siku ukiamka tu asubuhi ukitema mate inatoka...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwema humu ndani, Nimekuja kugundua mpenzi wangu hayuko sawa naamanisha kuna msimu akili yake inakuwa sawa kuna kipindi akili yake aiko sawa sijui tatizo nini? Mwenye kujua jamani mana hapa...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari zenu wanajukwaa? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mwenzenu leo nimeamka najisikia vibaya, nikaenda hospital kufanya body check up nimeambiwa sina tatizo lolote nimeambiwa labda tu...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna mtu aliwahi niambia kwamba ukiweka sukari katika maziwa (hasa maziwa fresh) hupoteza uhalisia na ubora(virutubisho) wake.Pia akasema hata mtu mwenye madonda ya tumbo anashauriwa asitie sukari...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Tatizo hili la kujikojolea bila sababu yoyote ya msingi ni tatizo linaloathiri watu wengi sana na ambalo huleta usumbufu na aibu kubwa kama litampata mtu. Tatizo hili huwakumba sana wanawake...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari, naombeni kujua ni hospitali gani hapa mjini Dar es salaam naweza kupata vipimo vya hormones, (vipimo hivi TESTOSTERONE, FSH, LH & PROLACTINE) kwa kutumia bima ya afya ya NHIF. asanteni.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Zaidi ya asilimia 52 ya wanawake hutumia vipodozi vyenye sumu ambavyo huwasababishia matatizo mbalimbali ikiwamo kansa ya ngozi, figo pamoja na kuharibika kwa mimba kwa mama mjamzito. Aidha...
2 Reactions
165 Replies
106K Views
kama kichwa cha thread kinavyojieleza hapo juu nahitaji kujua ni matatizo au madhara gani ambayo mtu anaweza akapata au akaja akapa endapo hatakuwa anakula nyama ya kuku ,mbuzi au nyama yoyote ile.
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Has A Cure For HIV Just Been Found? Natalie Gil A British man could soon become the first person in the world to be cured of HIV after a trial using a groundbreaking new therapy, conducted by...
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Ndugu,jamaa,marafiki na members wote wa Jamii forums, naombeni msaada wenu wa ushauri na mawazo yenu. Kuna tatizo linanisumbua muda mrefu sasa kila ninapo maliza kuoga napatwa na muwasho wa ngozi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…