Habari madoctor wa jf .mimi nina uwezo wa kumaliza chakula chenye ujazo wa kindo lita kumi,je! linaweza likawa tatizo lolote tumbon mwangu?.halafu cha ajabu sipati haja kubwa nina mwezi...
Salaam wana JF
Ndugu zangu naomba tusaidiane ktk hili la hawa wenzetu (wanawake) katika kukithiri kwa uotaji wa ndevu.
Miaka ya tisiini hivi nilikuwa na shangazi yangu ambaye yeye alikuwa na...
husika na mada hapo juu dawa za dukani hazinitibu tena sasa hivi nimebandika mwarobaini ila sijui ninywe kiasi gani niweze kupona malaria,msaada wenu pls
Habarini za mida wapendwa katika Bwana
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuwa mimi niliugua kifua kikuu mwaka 2012
Nilianza kutumia dawa ya kifua kikuu ndani ya mienzi miwili ya...
Salaam.
Kama kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna Rafiki angu anaomba msaada wa kitabibu, anasema Tangu achepuke na mchepuko wake wa siku zote jmos ya tarehe 4 feb 2017, amepatwa na uvimbe...
Wakuu habari yenu, natumaini hatujambo wote.
Nimepata kusikia habari njema za mizizi ya mmea ujulikanao kama Ginseng kuwa ni tiba na kinga nzuri sana. Ila mizizi hyo hupatikana sana nchini China...
habarini.
mwenzenu nasumbuliwa na muwasho, kama mchomo mchomo kwenye ngozi. hii hali inanitokea ninapo kuwa exposed na jua, kwahio mwenzenu hata nje situki mpaka saa kumi na mbili.
lakini...
Habari za mchana ndugu zangu! Bila kupoteza wakati niende moja kwa moja kwenye lengo... Mpenzi wangu toka amenenepa amekuwa na michirizi mingi kwenye mapaja, pia hata ngozi yake imebadilika kwani...
Tumbo linauma sana!Vitu vinanichoma kwenye kuta za tumbo utadhani nimemeza vitu mithili ya misumali. Nimeshafanyiwa vipimo vingi hadi nimefika rufaa mbeya wanadai ugonjwa hamna.
Sasa nikiwa na...
Uodate: kwa sasa nmekiwekea ndula nmefata ushauri wa baadhi ya wachangiaji
Ndugu wana .j.f, Hapa nilipo nina siku ya tatu kidole changu cha kati kimevimba sana kwa juu na kinauma, nlieda kwa...
uvimbe katika shavu, mwanzoni nilifikiri ni matezi(tonsils) lkn siyo, una siku tatu haupungui wala hauongezeki. mda wote huo nlikuwa nkitumia septrin lakini sioni mabadiliko naomben msaada ni dawa...