Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu, ipo hivi, miezi miwili iliyopita nilipata skin infection around the head of my penis, nkaenda pharmacy nkapewa sonaderm nkatumia nkaacha kuitumia baada ya kuona nmepona, ila...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Ndugu zangu, poleni na majukumu, nahtaji kufahamiana na madaktari wanaopatikana Musoma mjini, nina mazungumzo nao. Karibuni sana.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Nina ndugu yangu ambaye anasumbuliwa na tatizo la kusinzia kila wakati. Iwe asubuhi, mchana au usiku, anasinzia sana na tatizo limedumu kwa muda mrefu sasa. Naomba kujua dawa ya huu...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari za wikiendi mabibi na mabwana! Nimekuja na swali nnaimani kuna madokta humu watanipa ufafanuzi. Kipindi kama cha miezi mitatu nimekua nikisikia maumivu makali kwenye magoti pindi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Msaada wana jamvi nimekuwa nikizifinya chunusi,sasa nimekuwa nabaki na mabaka meusi usoni.na ndevu pia nikinyoa zikianza kuota zinawasha sana.naomba msaada wa dawa ipi nitumie ili niendelee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fahamu Faida za Kula Pweza..!!! Samaki aina ya Pweza amejawa na wingi wa virutubisho ambavyo husaidia mwili kujikinga dhidi ya magonjwa kama vile saratani kama saratani ya mdomo, utumbo mkubwa...
1 Reactions
1 Replies
13K Views
naomba msaada kujuzwa juu ya matumizi faida na madhara ya mkanda wa kupunguza tumbo kwa wanawake na njia mbadala ya kupunguza tumbo hasa ya vyakula na vinywaji
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Habari zenu madakitari mliopo hapa jf doctor... Naomba mnisaidie,kwa muda sasa napata choo kama bata vile yaani kama una harisha lakini siyo,nakunya choo kinatawanyika badala ya kufyatua makimba...
1 Reactions
28 Replies
9K Views
Ni muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na Typhoid,vidonda vya tumbo pamoja na huu unaoitwa eti U.T.I.Nimetumia dawa mbalimbali lakini wapi.Kila nikipima lazima magonjwa mawili kati ya hayo lazima...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Mwanaume kukojoa maji badala ya spam/mbegu shida ni nini? Au uume unagoma kabisa kusimama nini tatizo kwa wanaume. Tafadhali wenye hekima mnahusika.
0 Reactions
34 Replies
10K Views
Habarini wakuu, Nime notice wadada, kina mama wanatembea na kuuza mihogo mibichi na nimeshuhudia watu wananunua na kula. Just curious inasaidia nini? Kwasababu wauzaji ni wengi, inaashiria...
0 Reactions
28 Replies
11K Views
Bora wanaume sasa hao wanawake wanawake ndo wanahangaika zaid Mara makucha, makalio bandia, nywele bandia, matiti bandia, mitembeo bandia [emoji23] [emoji23] Waache wanaume waitwe wanaume tu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni mtoto wa kiume, ndio anatimiza mwaka mmoja. Hapendi kula, licha ya kumbadilishia chakula mara kwa mara. Mama yake humlazimisha kula angalao vijiko viwili.
2 Reactions
56 Replies
20K Views
Habari za mda huu ndugu zangu,nna mdogo wangu wa kike amepima ameambiwa ana bacteria ktk dam pia mkojo una sukari.pale hospitali ameandikiwa dawa aina 3 ampiclox.., flay.. (nmeshindwa kusoma vzur...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
habari wataalam? je ni muda upi mama mjamzito inatakiwa apumzike kufanya mapenzi kabla ya kujifungua?
3 Reactions
12 Replies
19K Views
Mimba ya week mbili i mean ndo inaanza, ni sawa mama mjamzito kula asali? Asanteni kwa ushauri.
1 Reactions
46 Replies
37K Views
Tafadhali naomba kuuliza swali na nitafurahi kupata majibu mazuri.Ugonjwa wa tambazi ni nini?.Dalili zake ni zipi?.Madhara yake ni yapi?.Na matibabu yake ni yapi?.Mzizi mkavu na wataalam wengine...
0 Reactions
4 Replies
31K Views
Wana JF, naomba mnielekeze namna ya kujua tarehe (makisio)ya mwanamke kujifungua. mfano. mara ya mwisho aliona siku zake tarehe 20 januari 2010. nitawezaje kukisia?
0 Reactions
7 Replies
26K Views
Nina changamoto ya kuwa mapigo ya moyo,kuwa juu,hadi 90 ps,hii inatokea hata kama presha ipo 120/85(mfano wa hivi punde) Naomba kujua tatizo ni nini!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu, habari za humu, Naomba msaada uwa na tatizo kuwa na vipele vingi vidogovidogo usoni na kwenye kifua vinawasha sana naomba msaada kwa anayejua mafuta au sabuni ya kuondoa anisaidie jina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…