wasalaam wakuu!
nashindwa kutofautisha kati ya cd4 na white blood cell. je, mtu akipima damu akaambiwa white blood cells zmeshuka/kupungua inamaanisha ndo cd4 zmeshuka? je, ni sababu zipi...
Wana JF experts wote naommba msaada wenu nimeumwa back pain almost 4Years kila nkienda hospital napewa some pain killers na vidawa tyu bas then hali inarejea kama mwanzo yan mgongo unauma hasa...
Wakuu naombeni msaada wa kufanya ili mchepuko usipate mimba nimefanya ile nimemaliza kumbe alikuw kwenye sku ya hatari afu alijisahau hapa geto hakukaliki kuna kilio hatari wakuu naomben msaada wa...
Wakuu
Naombeni kufahamishwa faida ya kula Ugali asubui, kuna sehemu moja apa mtaani kwetu kila siku asubui watu wanakula Ugali.Afu wengi wanaonekana ni Watu wasomi.
Sasa leo nimemskia mmoja wao...
Ni matumaini yangu kuwa muwazima,leo ningependa kujua hizi condom ikiwezekana iwe faida kwa wengine ambao wanajua kila condom huzuia maambukizi ya VVU. Ni hivi nimejaribu kufuatilia nikagundua...
Usichoke kusoma tafadhari
Ni mda wa miaka mitano sasa siko sawa ,kichwani hadi mapajani napata maumivu yasiyo ya kawaida, misuli inakaza, mishipa inauma, napata uchovu kiasi nalala mara kwa mara...
Salamu kwenu!
Je,hakuna mbadala wa sindano za chanjo wanazopatiwa watoto,katika mapaja yao?
Maana nimeshuhudia zikiwapa mateso sana muda mwingine hadi kupata homa.
Kweli hakuna namnan yingine...
Habari zenu wapendwa.
Bila kupoteza muda naomba ushauri wenu humu ndani.
Tatizo nililo nalo wakati najifungua mtoto wangu wa kwanza niliumwa uchungu mkali sna kwa muda mrefu kama siku 2 hivi...
Kwa ushauri yenu juu ya tatizo language ya bleeding! Nilienda hospital nikapewa dawa dydrogestorone tablets nimetumia kama Siku 4 nikaingia(bleed)na dozi niliambiwa nitumie Siku 30!
Sasa kuna haja...
Wakuu, nina dogo langu katuma maombi juu ya IRS ama unyunyuziaji wa dawa ya mbu majumbani. Sasa dogo huyu hajui chochote kuhusiana na hiyo programme, na ameambiwa 06.02.2017 akafanye usaili huku...
Ninashikwa na uchovu wa kukoroma kabisa nikimaliza kufanya mapenzi,hata kama ndo nmetoka kulala.
yawezekana ikawa nini au ndo naishiwa nguvu za kiume? au ni mtu ninayefanya nae tendo manake...
Wakuu habari zenu wapendwa.
Nimerudi tena kwenu kuomba ushauri na kubadilishana mawazo,
Najua humu ndani kuna madaktar na wenye uelewa wa mambo ya afya na wanawake wenzangu waliopitia hali...
Ukienda kule kwa wayahudi utasikia wakisema 'utupe leo mkate wetu wa kila siku'
ila nadhani kwa watanzania itakua 'utupe leo ugali wetu wa kila siku'
nakusudia kwamba ugali umekua sehemu kuu ya...
Habari za leo,naomba kujua faida na madhara ya dawa hizi CARBAMAZEPINE make kuna ndugu yangu amepewa akinywa anakuwa kama mja mzito kusinzia,amepewa hizo pamoja na zingine zinaitwa VALPARIN CHRONO...