Naomba Msaada nina wiki ya pili tangu nimeanza kuwashwa sehemu za Siri na nikikojoa mkojo naumia Sana nikachoma power self 4 ikawa bado nikachoma panaduu 1ikawa bado nimepewa dox na flagin lakini...
Niliumia mkono nimuda sasa kipande chachuma kidogo sana kiliingia kwenge kiganja chamkono dockta akanishauri hakina madhara lakini mbona mkono unaniuna sasa maeneo ya begani ushauri jamn
Ndugu zangu baba yangu ni mgonjwa sana yupo hindul mandal, tumeshahangaika kama familia kupata damu tumeshindwa!!! Nawaombeni ndugu zangu mnisaidie!!! 0714148504 plz mbarikiwe sana.
Habari ndugu zangu. mi ni mama wa mtoto mmoja nina miezi mitatu sasa sijaona siku zangu, Nimepima mimba mara tatu na hospital tofauti tofauti inaonyesha sin mimba sasa sijui tatizo ni nini?
Na...
Wataalam WA afya Nauliza Nina kohozi karibu mwaka wa tatu Sasa. Huwa Nina tabia ya kuli push kwenda ndani ni mara chache Sana nitatema labda niwe nje barabarani Ila nikiwa niko ndani nameza tu...
Wadau nasumbuliwa sana na Gaut nimejaribu kutumia dawa tofauti za kisasa na asili bila mafanikio, kwa yoyote anaejua dawa itakayonisaidia plz naomba msaada mana nilishawaipata dawa ya fungus humu...
Sababu zinazopelekea kuvimba kwa tezi za shingo ni tonses ni tatizo wanalo wengi naomba msaada mbali na kufanyiwa oparesheni kuondoa uvimbe sijui kama kuna tiba asilia ya kuweza kuondoa uvimbe pia
Habari wadau samahani naomba msaada wenu nina tatizo la kukauka na kupasuka lips zangu za midomo kiasi kwamba napata maumivu.. Je kuna tiba yoyote kwa tatizo hili??
Nawasilisha...!!!
Ndugu yangu ana minyoo ya Trichiura (Roundworms), anawashwa mkunduni anajikuna sana. Amepoteza weight. Ametumia kila aina ya dawa zisizokuwa na idadi kutoka kila nchi no relief. Madaktari wa...
Wakuu habari zenu!
Nimekuwa nikifanya mazoezi ya viungo pamoja na kukimbia kwa muda mrefu kama miez 8 hivi,huwa natoka nakimbia kuanzia Mabibo hostel napita Ubungo mataa,gate maji,utawala...
Hbari za leo wapendwa,
Kisa hiki kimemtokea jirani yangu nimeona niwaletee mpate la kujifunza hapa, bwana Juma Bakari ana umri wa miaka 75, alikuwa mfanyakazi wa serikalini, amestaafu takribani...
I have been hearing that these steroids which increase testesterone levels such as Testo maxx are available in Tanzania anyone having an idea where to get these supplements i have to prescribe...
wakuu habari zenu! Nimekua nikifanya mazoezi ya viungo pamoja na kukimbia kwa muda mrefu kama miez 8 hv,huwa natoka nakimbia kuanzia mabibo hostel napita ubungo mataa,gate maji,utawala udsm,ardhi...
Ndugu yangu wa kiume yupo kidato cha nne karibia muda wote kichwa kinamuuma, anasahau mambo mara kwa mara pia uelewa umeshuka, alienda Temeke hospitali kufanya vipimo akaambiwa hana tatizo...
Habari zenu ndugu zangu.... nahitaji msaada wenu saana. Dada angu ni mjamzito wiki ya 15 sasa ila jmn hali yake haitaki kabisa kuimarika ni kutapika nyongo japo kwa sasa sio kila siku sasa...