Kutokana na ugumu wa maisha ...nimeamua nisiwe nakula mchana ..yaan nakula asubuhi na usiku tu....je kuna madhara yoyote kiafya?
Nb: kwa upande wa jf naingia mara moja kwa mwezi na bado lile la...
JF Doctors na ndugu zangu nyote mliopo humu naomba yeyote mwenye ufahamu juu ya damu kumtoka mwanamke kwenye umri wa miaka 45 na kuendelea bila kufika mwisho yaani namanisha mwanamke anafika...
Wadau,
Mimi ninapenda sana kufanya ngono, nikiwa na msichana huwa nataka muda wote tuwe tunagegedana. Huwa nikianza kugegeda msichana hukaa mikao kila aina, atalia milio yote ndipo nashusha...
Mazoezi kwa wanaume huongeza mbegu za uzazi
Watafiti wamesema ni muhimu kufanya mazoezi kwa kiwango cha wastani.
Mazoezi ya nusu saa mara tatu kwa wiki kwa wanaume yana uwezo wa kuongeza kiwango...
1: Kama unaamka asubuhi kwenda kukimbia na kwasababu ubongo unakuwa umekauka unashauliwa kunywa maji ili kuuchangamsha ubongo na usipo fanya hivyo ukienda mazoezini unakuwa mvivu kufanya mazoezi...
Ninapokwenda kokote au ninapokua nchi yeyote hasa kwenye mikusanyiko mikubwa ya huwa kuna hisia unijia na zinaniogopesha sana na kujikuta nashindwa kumaliza nilichokua nikikifanya.
Hisia hizi ni...
Habari wakuu. Nimeanza kuona naelekea kwenye ndoa rasmi. Naombeni maelekezo ni wapi naweza pata huduma ya kupima HIV nimbebe na mtarajiwa wakatupime kwa pamoja.
Naomba kuwasilisha
Inasemekana kwamba asilimia kubwa ya mwili wa binadamu ni maji,
na hata hii damu tunayoiona basi inamchanganyiko wa maji kwa kiasi kikubwa na damu kwa kiwango kidogo (kwa waliosoma sayansi...
Habari wadau,
Mimi nimeoa na tumebahatika kupata watoto wawili katika ndoa, baada ya hapo tuliamua kutumia njia za kupanga uzazi(kitiji) kwa sababu kadha wa kadha, ni kweli tulifanikiwa kufanya...
Mtoto wangu anabanwa sana na kikohozi hasa ikifika usiku!
Nilienda naye hospital ya wazaz,alipimwa na nikaandikiwa dawa,nilizunguka kutafuta dawa hiyo sikuipata then nikarud hosptal...
kila nikila asali najiskia tumbo linauma sana maanake sjajua kitaalamu itakuwa inasababishwa na nini? najua madoctor mpo wengi na hata kama sio doctor wee toa uzuefu wako kwa nini tumbo liume...
Habari zenu wakuu,
Nina girl friend sehemu zake za sri zinaleta shida. tatizo lake baada ya tendo anadai anapata maumivu makali, anadai hayo yanaambatana uke kujifunga huwezi kurudia tendo tena...
Habari za mchana Doctors and Professionals... Katika shughuli zangu za kuwashauri watu nimepokea majibu haya ya mtu aliye tokea kupima Nguvu za kiume yaani SEMEN EXAMINATIONS.. naomba msaada wa...
Naombeni ushauri hua natumia Siku nzima kugegeda mzigo wangu kama masaa 24 au
narudia tendo zaidi ya mara 6 lakini nikimaliza nauwezo Wa kaa miezi 2 vipi wana JF ni tatizo hlo?