Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Zikiwa ni mbegu zenye virutubisho vya aina mbalimbali kuanzia madini hadi protini mbegu za Maboga zinakua mio goni mwa mbegu muhimu sana binadamu kuzila,, Zifuatazo ni faida zinazopatikana kwenye...
2 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu poleni na majukumu,naombeni msaada wenu ni wapi nitapata daktari kwa ajili ya matibabu kwa mtoto wa mwaka mmoja na nusu anaonekana kuwa na matege ..Pia nimewahi kumpeleka ccbrt niksambiwa...
1 Reactions
49 Replies
23K Views
Napenda kujua madhara ya kunyonya Uke wa mwanamke na dalili za madhara hayo ni nini?Naombeni ushauri wenu
1 Reactions
76 Replies
62K Views
Performaxx for MenWakuu salama ! ! ! Tafadhali naomba msaada wenu kujua namna ya kuweza kupata hii dawa hapa TZ au kama kuna watu wanaweza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani nani anajua doctor mzuri anayetoa mimba bila madhara kwa mama naomba mnisaidie details na gharama.
0 Reactions
153 Replies
239K Views
Wanasayansi kwa kutumia mashine mpya ya MRI wamepiga hatua kubwa katika upimaji wa saratani ya Tezi dume. Kwa kutumia Mashine mpya ya hali ya juu Madaktari sasa wataweza kubaini aina nyingi za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi menyewe ukichaa wangu naomba nisipewe siraha maana nikichukia nakua km simba kwa kuunguruma:Naomba tuchangie tufanyeje ili kizazi hiki kitulie kisipate ungonjwa km wa kwangu mimi huwa naweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana Jukwaa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25,nimesoma mpaka kidato cha sita lakini matokeo yangu hayakuwa mazuri.Mwaka niliofanya mtihani ni 2014. Na baada ya matokeo...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
habari zenu ndg, Nina tatizo la meno kutoboka mara kwa mara na nimekuwa nikiziba lakini bado tatizo linajirudia kila baada ya miezi mitatu. Naomba munisaidie kwa ushauri na tiba ili niondokane na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nina mdogo wangu yupo 45 yrs anakunywa maji lita kwa siku; asubuhi, mchana na usiku. Jumla, anakuwa amemaliza lita 6. Kwasababu ya kunywa kiasi hicho cha maji, huwa anaenda sana haja...
0 Reactions
59 Replies
25K Views
Naona msisitizo sana wa watu wakiume kufanya circumcision kutoka madhehebu ya dini mbalimbali na pamoja na secta ya Afya hata mila za desturi za makabila mbalimbali lakini swali ninalo lipata...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Wapendwa wana jukwaa naombeni kujua huu ni ugonjwa gani, unasababishwa na nini na matibabu yake nini? Maana hapa mtaani kwetu unasumbua watu wengi hasa vijana wakike na wakiume ..... Tusaidieni...
0 Reactions
7 Replies
50K Views
Wakuu nimekuja huku kama nilivyosema nipo kairuki lakini Urologist mpaka jmosi, kama kuna mdau anajua Ratiba ya urologist yeyote kwa Leo na kesho hospital nyingine aniambie coz ninamaumivu mpaka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wapendwa wanajamvi umofia kwenu!!!!! mimi ni mgonjwa naishi nje ya Dar! napenda kujua ni hospital gani iliyopo DAR ambayo naweza pata huduma nzuri kitengo cha njia ya mkojo na uzazi (urology)...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa zaidi ya miezi minne sasa mototo wangu alipaswa kupata chanjo ya Surua kama alivyopangiwa Wa wahudumu Wa afya. Wauguzi katika zahanati ya umma ambako nimekuwa nikimpeleka kupata chanjo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wajuzi, 3tyms tumejarbu kutafuta mtoto mimi na mke wangu tulimek lov kweny sku zte wanazoziita za hatari bt hollla, next wik tumepanga twende hospital kupima napenda kujua ninn huwa wanapima?
2 Reactions
4 Replies
826 Views
Habari wana jf. Natamani kuwa na mtoto. Hivyo naomba msaada juu ya siku ya kushika mimba. Mzunguko wangu wa period naanza tarehe 9 na kumaliza tarehe 14.
0 Reactions
44 Replies
56K Views
Habari wanajamvini... samahani rafiki yangu ameniuliza swali nimeshindwa kumjibu nikaona sio vibaya nilete hapa mtusaidie.... alikuwa kwenye danger akasex baada ya hapo siku ya tatu baada ya sex...
0 Reactions
8 Replies
14K Views
Nina Mtoto mwenye umri wa miaka 10 kasoro. Anaota Yale meno kiswahili tunaita magego but yamemfanya augue kabisa hata kula hataki akimeza chakula koo linamuuma. Nilimpeleka Hosp tukapewa dawa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…