Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habarini za mchana ndugu nahisi mu wazima wa afya wapendwa naombeni mnijuze siku ya hatari ya kushika ujauzito. Nimeanza kupata period kwa mwezi huu wa 12 (tarehe2-6) ndo namaliza naombeni...
0 Reactions
20 Replies
18K Views
Nina uvimbe katikati ya mstari uliopita sehemu ya paja dizaini kama toki lakini co toki cjui nini na unavimba kila cku naombeni msaada wa kujua dawa yake tafadhari
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu Kama kichwa cha Habari Kinavyo sema Mara nyingi Nimekuwa Nikifanya Mapenzi Na wanawake Wananiambia Nifanye Taratibu Mana Huwa Nagusa Kizazi Ebu Nipen Darasa Kidogo Kuhusu Hili...
7 Reactions
362 Replies
85K Views
Habari wana Jf. Kama nilivyoainisha hapo juu, kiukweli naumwa sana na kiuno yaani nikijikunja kidogo kama nataka kuangukia nyuma napata maumivu makali sana. Kuna siku kiliuma mpaka nikaomba...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
PENIS CREAM THICKNESSER Help thickening Jellia XL Penis Enlargement Cream 100 ml Habari zenu wakuu? Dawa ya kurefusha Uume na kufanya mboo iwe nene nimeipata inauzwa dollar 300 na gharama...
5 Reactions
58 Replies
52K Views
Habari zenu madocta,naomba kujua kama kuna shida yoyote ama ni kawaida kwa mtoto mdogo kusimamisha uume kwa muda mrefu,sijawahi kuiona hiyo hali,ukiacha tu ule muda anapoamka lakini tokea juzi...
1 Reactions
14 Replies
10K Views
Ndugu, Naomba mnisaidie kupata kunielekeza wapi naweza kupata Daktari wa masikio. Mimi niko Dar. Kwa yeyote atakae weza nisaidia naomba ani PM. Natanguliza shukrani zangu za dhati. Mungu awabariki.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari zenu wanajamvi... Ninalo tatizo la kupata nguvu upya (erection) hasa baada ya bao la kwanza (ejaculation). Je kwa kawaida kwa mwanaume inatakiwa kusubiri kwa mda gani ili kupata nguvu...
4 Reactions
72 Replies
37K Views
ana miaka 25 sio mm ummu, lakini analia na kiuno hasa akifanya kazi za kuinama kama kufua au kupiga deki amepima U.T.I hakuna kitu kwa madai yake anasema amelogwa cause alitembea na bwana wa...
0 Reactions
6 Replies
35K Views
Wakuu heshima zenu, Kuna madhara gani mtu anaweza kupata kwa kunywa dawa tofauti tofauti kwa mda mrefu, yaani mfano ndani ya mwaka mzima.Dawa zenyewe ni za magonjwa tofauti tofauti kwa kipindi...
1 Reactions
14 Replies
8K Views
Mke wangu alikuwa na ujauzito wa miezi 8 lakini cha kushangaza ilitokea tarehe 26 December akaanza kutokwa damu tu na tumbo kumuuma sana ndipo tulipoenda hospital kupata msaada ila sikuamini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za mihangaiko wapendwa Please naomba kama kuna Gynecologist hapa JF ani PM namba yake niwasiliane nae ama kama kuna mtu anamfahamu yeyote mzuri na ana contact zake please anisaidie ...
1 Reactions
36 Replies
15K Views
Naombeni msaada ndgu zangu natarajia kusafiri kuelekea Argentina nimeambiwa natakiwa chanjo ya yellow fever naombeni process zikoje na niko mwanza kwa sasa. Hiyo chanjo naipataje?? Asanteni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua hospital hapa bongo wanafanya operation za kuondoa gyno kwenye matiti ya mwanaume na ningefurahi kama nitajua na gharama.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wataalam, Nauliza hivi ikitokea mdudu kama mbu, inzi n.k akaingia ndani ya sikio itakuaje?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Inahusika na nini?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WaKuu habarini, Kwa mwenye uelewa wa hizo HIV TEST RESULTS anisaidie, nataka kujua nini maana ya kila moja. Karibuni
0 Reactions
53 Replies
21K Views
Habari wakuu Nimekua nikisumbuliwa na halitosis kwa muda mrefu baada ya kupima Ct scan majibu yalikuja kama ifuatavyo There is thickening of inferior nasal turbinates seen There are mucosal...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
KITUNGUU SWAUMU TIBA MARIDHAWA KWA MARADHI LUKUKI Na HERIETH FAUSTINE, KITUNGUU swaumu ni jamii ya vitunguu ambavyo kwa kitaalamu huitwa Allium Sativum ambapo hutegemewa katika kuongeza ladha...
3 Reactions
9 Replies
8K Views
jaman chanzo cha chafya ni nini na ina maana gani kwetu wanadamu
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…