Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wandungu nasumbuliwa na typhoid,, natumia dawa napata nafuu baada ya miez 4 Hali inakuwa mbaya,, msaada tafadhali
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau nahitaji msaada wenu, naamini wengi hapa wanafamilia au wanaufaham ufaham kuhusu mambo ya watoto. Kuna mtoto wa mdogo wangu anaugua mara kwa mara. Mara ya kwanza mtoto alikua anatapika kila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni wiki ya tatu sasa napata hamu ya tendo lakini nikiingia kwenye mechi sipati raha au stimulation yoyote. Mwenzangu huwa anaugulia tu kwa raha anazozipata lakini mimi siskii raha yoyote...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
FAIDA ZA LIMAU KIAFYA Faida za limau au ndimu zinajumuisha matumizi kama tiba kwa ajili ya vidonda vya kooni, matatizo katika mmeng’enyo wa chakula, matatizo ya meno, homa, kuvuja damu ndani ya...
4 Reactions
17 Replies
16K Views
Habari za leo, Kama mnavyofahamu kuwa HIV au UKIMWI sikuhizi ni gonjwa sugu na wala si gonjwa hatari kama ilivyokuwa hapo awali (kwa wanaotumia dawa), hivyo basi ni muhimu kujua afya za watu...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Wiki mbili zilizopita niliugua malaria na kikohozi. Daktari akanishauri nitumie dawa mseto na Ampicilyn. Baada ya kumaliza dozi, nimepungua nguvu za kiume hadi nashangaa. Nikipiga goli moja...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari, naomba kujuzwa jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi yaani kama ni wa 28,29,35. Huwa napata hedhi mda wa siku tatu. Shukrani
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu. Nahitaji kufahamu kwa nini mtoto analia anapozaliwa. Na mtoto anapolia akizaliwa mzazi ufurahi. Lakin mtoto hasipolia mzazi upatwa na wasiwasi. Karibun :
1 Reactions
16 Replies
14K Views
Hivi kula ugali na wali tu vinaweza kusababisha kuongezeka uzito? Mimi sili chakula kingine chochote zaidi ya ugali na wali, nyama nimepunguza karibu 75℅, sili chips wala kuku wa kisasa. Sinywi...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Wakuu habari za majukumu. Leo nimeamka asubuhi, najikuta jicho langu la kushoto halioni vizuri. Inakuwa kama unaangalia ukungu (fog), lakini pia mwanga wa dirisha unapoangalia dirishani hali huwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF kuna jambo huwa najiuliza Mara kwa mara, je kunywa chai hasa wakati wa asubuhi kuna faida gani au ni jambo la mazoea Kama Mimi nilivyozoea kwa wazazi wangu tangu nilipozaliwa/nikiwa...
1 Reactions
5 Replies
909 Views
Habari zenu wana jf. Leo nimeona tulizungumzie swala hili la #kusahau(kupoteza kumbukumbu). kuhusu tiba yake na nn kifanyike kuzuia hali hiyo. Karibuni
1 Reactions
2 Replies
902 Views
Natanguliza amani ya bwana kwenu,na heri ya mwaka mpya. Awali ya yote nawakumbusha kuwa UKIMWI upo nilikuwa siamini lakini kwenye familia yangu umefika, mdogo wetu wa mwisho mtoto wa kike amepimwa...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu habari za jioni? Husikeni na heading hapo juu, Baba yangu alikuwa anaumwa Muda mrefu kidogo alikuwa anabanwa na pumzi na pia kukohoa . Baada ya kwenda hospitali imegundulika kuwa moyo...
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Habari za mchana wana jf ! Nimekuja kwenu naomba mwenye utalaam anishauri ,, Tatizo langu ni dudu kuuma hasa napomaliza faragha na nikitoka kukojoa , inauma ndani kwene njia ya kutolea mkojo na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
YOU COULD SAVE SOMEONE'S LIFE BY KNOWING AND PASSING ON THIS SIMPLE INFORMATION. Stroke has a new indicator! They say if you forward this to ten people, you stand a chance of saving one life...
3 Reactions
5 Replies
951 Views
Habari wakuu Nilikuwa naombeni msaada juu ya hili tatizo. Ni hivi mara ya kwanza nilipokuwa nikienda haja ndogo sehemu yangu ya uume ilikuwa inapata maumivu kwa mbali ikabidi niende hispital...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanabodi tafadhali Masada wa daktari au hospitali ya mtaalam wa matatizo ya tumbo kuuma kitovoni. Vipimo vya awali vilionyesha typhoid mwingine dalili za appendix. Kwa Arusha au DAR tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
nina miaka isiyozidi 40 . nimeoa na nina watoto wawili. nafanya kazi kampuni flan. kazi zangu maranyingi nakuwa nikitumia kompyuta. nyumban huwa narudi saa 12:30 moaka saa 1:30 nakuwa nipo home...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Jaman mm nasumbuliwa na maumivu ya misuli na koo kuuma na kuhisi kama kuna kitu kimenikaba, vichomi mwili mzima pamoja na mwili kuwasha halafu natoka vipele na pia kukosa nguvu kabisa yani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…