Wapendwa poleni na kazi kwa walio kua shift usiku na pia kuwaombea kazi njema kwa walio katika majukumu ya kusaka maisha.
Kama jinsi nilivyo eleza kua naombeni ushauri na pia mwenyewe kujua dawa...
Habari wanajamvi
Nilikuwa naomba nijulishwe joto la binadamu or average human body temperature ina range kuanzia ngapi hadi ngapi.Nina mafua kwa wiki sasa leo nimejipima temperature yangu imefikia...
Habari watalaamu!
Nina tatizo la kupukutika kucha zote miguuni na mikononi na zikijaribu kuota zinaumuka kwa ndani halafu zinaacha na nyama inayozikamata.
Tafadhali aliye mtaalamu au anayemjua...
Habari zenu wapendwa nawaomba munisaidie tatizo langu najihisi kua ni mjamzito mana dalili zote za ujauzito ninazo na hapa chini ya kitovu pameanza uvimbe.
Tatizo langu nikwamba napata hedhi...
Salamu ndugu na Jamaa zangu wote.poleni na pongezi kwa majukumu makubwa ya kizalendo kwa Taifa letu zuri sana la Tanzania.
Naombeni ushauri waharaka mke wa rafiki yangu kutokana na maelezo ya...
Wadau habari za saa hizi, nasumbuliwa na mguu wa kulia ni miaka miwili sasa, mi driver wa magari makubwa nimekuwa nikiendesha kwa miaka karibu 30, sijawahi kupata ajali yyte mpaka sasa lakini...
Habari wanaJf wote.
Mimi ni mgeni humu. Ninaomba msaada wa ushauri wa kitabibu hata kimawazo tuu kwa tatizo hili linalomkabili ndugu yangu wa karibu jinsia ME
Yapata wiki ya 2 sasa alianza...
Habari wakuu.....siku za hivi karibuni nimekua na tatizo la kizunguzungu ambacho kinakuja baada ya dakika kama tano kinaisha..na muda mwingi hali hii inatokea kama kuna hali ya hewa ya baridi pia...
Mdogo wangu wa kike anasumbuliwa sana na miguu kuuma hasa kuanzia kwenye magoti kushuka chini.
Cha kushangaza kabisa ni kwamba maumivu ni makali mpaka kwenye muscles na joints kiasi kwamba hata...
Mimi nasumbuliwa sana na tatizo la maumivu ya mifupa hasa nyonga mara nyingi ninapokaribia period na wakati mwingine maumivu yanakuwa muda mrefu hadi miezi miwil zaidi ni kupungua kwa maumivu tu...
Samahani naombeni msaada wenu Mimi natatizo la kupumua kwa sauti yani mpaka aliyekaa karibu yangu anaona kero tatizo nini hasa na tiba yake ni yepi ahsantenii............
Nasumbuliwa na mba mwilini hasa kifuani na mgongoni kwa muda mrefu sasa. Hua nikitumia dawa napona lkn baada ya miezi kadhaa wanaonekana tena. Naomba ushauri na tiba.