Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ndugu zangu mama yangu anaumwa romatizimu nimeshindwa kuiandika kitaalamu. Anapata maumivu makali ya mikono hadi analia. Hospitali walimpa diclofenac na muvera lakini hazijamsaidia. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jf mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye miguu.najitahidi kuosha miguu na kuvaa viatu ambavyo sivyakufunika ila bado inaendele, kama kuna mwenye kujua dawa naomba msaada...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Nasumbuliwa na mapele (upele) makubwa sana nikinyoa ndevu kwa kiwembe cha kawaida kwa mwenye kufahamu dawa au lotion yoyote ili kupunguza hali hiyo naomba aniambie
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kujirudia kwa UTI licha ya kutumia dawa mara tatu kwa vipindi tofauti nakuwa pia na dalili za uchachu mkali kinywani kwa muda mrefu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kumekucha poleni na shughuli, Hivi wakuu naomba kuuliza hivi ni ugonjwa gani unamfanyavmtu kutafuna meno kwa nguvu hadi yanatoa mlio kama ule wa yale wadudu wanaopekecha ma canch au...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna dada yangu ana uvimbe shingoni, alienda KCMC baada ya matibabu ya muda wakamreffer kuja Muhimbili amepimwa na majibu yameandikwa ivyo kama inavyosemeka kwenye topic, naomba kujua huo ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jf mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye miguu.najitahidi kuosha miguu na kuvaa viatu ambavyo sivyakufunika ila bado inaendele, kama kuna mwenye kujua dawa naomba msaada...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye miaka 25,tatizo nililonalo ni kuwa masikio yangu yote yamepoteza usikiaji,tafadhalini naomba msaada wenu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda sasa, tatizo langu ni chakula gani kinafaa maana nimekuwa nikitumia ugali wa mtama lakini niki pima nusu saa baadaye nakuta imepanda mara mbili zaidi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
kama kichwa cha habari kinavosema DAWA ZIPI NI BORA ZAIDI KATI ZA ASILI NA ZA KEMIKALI ZA WAZUNGU WA KIMAREKANI NA ULAYA?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu? Mimi nikijana wa mwaka wa kwanza ninaesomea taaluma ya udaktari chuo fulani hapa kwetu Tz. Nimekuwa na typhoid fever for more than 1 yr. Nimetumia antibiotics kama cipro...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Heri ya mwaka mpya wana JF, naomba kujua ni maziwa gani ya kopo yanafaa kwa mtoto mchanga chini ya miezi sita. Mama yake asubuhi atakuwa anakwenda kazini na kurudi saa tano asubuhi,kwahiyo hayo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Moja ya sababu za maradhi yasiyoambukiza lakini yamewaathiri watu wengi (lifestyle diseases) ni ulaji mbovu wa vyakula hasa vya asili ya wanga na mafuta. Maradhi haya ni kisukari, maradhi ya moyo...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Nina umri wa miaka 23 sikuwahi kuwa na tatizo hili katika makuzi yangu huu ni mwezi wa tatu nasumbuliwa na tatizo hii, Kama ni usafi ninajitahidi kwani mpaka kwa siku nabadilisha na kuoga Mara 2 ...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Habari wana jamvini, Je ni kweli mama mwenye virus vya ukimwi akijifungua mtoto mchanga haruhusiwi kumnyonyesha huyo mtoto mchanga?
1 Reactions
2 Replies
837 Views
Wakuu habari zenu na heri ya crismas,, siku kumi zilizopita niliweka Uzi hapa kuhusu kushindwa kufanya chochote kwa binti flani kwakweli iliniuma sana na nilidharaulika sana. binti akaniita dume...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Rejea tu kichwa cha Habari na karibuni katika kuchangia.
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Kwa faida ya afya na usalama wa kila mwanamke. Wasichana 56 wanafariki dunia kila siku kwa ajili ya matumizi ya kipande ki1 cha pedi ya kuwa inasababsha kansa katika kibofu na kizazi. Jaribu...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Mara watu wanasema Maji wengine vipele vya joto Na kila Mtu anasema yake, Basi Mtu unajikuna wee Na sometime vinadevelop vijipu si Watoto si watu wazima Nyumba mzima mnashambuliwa Tiba hasa ni Nini Dr
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Wadau habari zenu poleni na majukumu ya kulijenga Taifa ....bila kipoteza muda naomba kufahamu juu ya jambo hili nililolisikia mitaani . Hivi nikweli kwamba kwa manaume anapokuwa kwenye tendo la...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…