Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nina tatizo la kuumwa sana kiuno,wakati mwingine kinauma kinakuwa kama kinawaka moto hasa wakati wa usiku,nimetibiwa hospitali kadhaa kwa muda mrefu sasa (zaidi ya miaka miwili) ila sipati...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wengi wetu hukumbana na shida za kikazi na kinyumbani, hii huleta mfadhaiko wa akili ambalo ni jambo la kiafya. Jifahamishe jinsi ya kugundua ikiwa una shida na jinsi ya kutibu, kulipia gharama...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Matibabu ya kichwa na mimi mwenyewe kwani watu wengi maradhi hayo wanayo dalili zake Nikuumwa na kichwa upande mmoja kichwa kuuma mbele yaani usoni kuuma meno yote kusikia harufu mbaya puani...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni mwezi sasa natafuta hii huduma kwenye hospitali zetu wanasema haipo, kwa anaefahamu inapopatikana tujuzane. Mm nipo Mwanza.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MPANGO WA ELIMU NA USHAURI WA AFYA KUPITIA SIMU YAKO UTANGULIZI MPANGO WA ELIMU NA USHAURI WA AFYA KUPITIA SIMU YAKO ni mpango wa wataalam na washauri wa afya wa AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natumai hamjambo wanajukwaa wote. Jana nimesikia kituko nikacheka sana na sikuamini. Kuna mtu alitumia vidonge vya p2 ss amechelewa kuingia hedhi ss kuna siku akawa anajisikia kichwa kinauma...
0 Reactions
3 Replies
16K Views
Dawa za mfadhaiko Fluoxetine (Prozac), ni SSRI Venlafaxine, ni SNRI Dawa za mfadhaiko ni dawa za ugonjwa wa akili zinazotumika kupunguza mivurugo ya halihisi ya moyo, kama vile mfadhaiko...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
What's difference between oncosphere and embryo
0 Reactions
0 Replies
574 Views
WIZARA YA ELIMU YAKANUSHA TAARIFA ZILIZOSAMBAA KUWA HAITOAJIRI TENA WALIMU WA ARTS Akitoa ufafanuzi juu ya ajira mpya za walimu zilizotangazwa na waziri wa elimu kuwa wamezfuta ajira za walimu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
January 28, 2016 Introduction Zika virus is an emerging mosquito-borne virus that was first identified in Uganda in 1947 in rhesus monkeys through a monitoring network of sylvatic yellow fever...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hallow,wana JF, Kuna kisa kimenikuta juzi kati.Mimi ni mwanaume miaka 40. Wakati nikiwa usingizini nikawa kama naota hivi na pembeni akawa yupo binti mrembo mzuri na mrefu kiasi. Ghafla...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habarini wanajf JF inawatuwengi na ni wataalamu wa mambo mengi, nimeleta uzi huu mahususi kupeana elimu na ufaham kwamba je VIAGRA inapoingia mwilini inafanya vp kazi kwa vichocheo gani, kwa...
1 Reactions
3 Replies
8K Views
Habary wandugu...! Poleni na majukumu ya kila siku, dhumuni au tija ya uzi huu ningependa kupata elimu juu ya madhara ya kutumia dawa za kusisimua katika tendo la ndoa . Mfano VIAGRA, na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nilikutana kimwili na binti ambae nipo na mahusiano nae, sasa wakati tunaendelea kufanya akawa ananisihi sana nisimwagia ndani sababu alikua kwenye siku za hatari, nilipokaribia...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu nina tatizo hili kwa mda wa miaka mnine huwa sometime ikitokea tumbo huwa linavulugika na kuharisha sana , misuri ya korodani ya kushoto huvimba kidogo, mara nyingine ikitokea maumivu ya...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Salaam!! Mzee wangu ana umri wa miaka 76 sasa. Amekuwa akisumbuliwa sana na maumivu makali na pia kuvimba kwa miguu (hasa ktk goti na ktk joints za vidole vya miguuni). Tumempeleka hospitali...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
JF Doctor ili tatizo linajitokeza mara kwa mara kwa huyu mwanamke niliye nae kikubwa zaid nna malengo nae!, kila tunapofanya kile kitendo yeye hujiskia maumivu tena ya hali ya juu inafikia hadi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
kama unasumbuliwa na joints nitafute kwa ushauri zaidi #0718512775
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu nisaidiee dawa ya kwikwi inanisumbua sana inatulia kwa muda na inarudi tena toka jana
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Wakuu Habari wana jf kuamka mwili ukiwa umechoka sana wakati mwingine kama umefanya kazi ngumu sana,inasababishwa na mambo gani kiafya au kimazingira Natanguliza shukrani
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…