Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari waungwana, mimi ni mgeni humu ila nina tatizo, ni kwamba nimepatwa na hali kama week sasa, ya kuwa na hamu ya kujamiiana wakati wote,yani mind yangu hata nikiwa sehemu isiyohusika gafla tu...
2 Reactions
31 Replies
10K Views
dr's naombeni msaada kwa tatizo langu. Nasumbuliwa na ugonjwa ambao hata nashindwa kueleza! wiki ya tatu sasa nasumbuka kichwani upande wa kulia karibu na sikio maumivu nayapata sana nimeenda...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari JF! Najua humu ndani kuna watu wana akili sana, hivyo kwa michango yenu najua nitatatuliwa huu mtego nilionao. Mke wangu amejifungua salama mtoto wa kike hivi majuzi, mtoto ni mzuri na...
0 Reactions
63 Replies
13K Views
Habari wapendwa, Nina swali, nini kinasababisha infection kwenye damu kwa watoto? Nina mtoto yaani inaenda inajirudia rudi. Tiba yake ni nini ili kuitokomeza kabisa?
1 Reactions
2 Replies
11K Views
Wadau, Natumaini hamjambo. Nina mdogo wangu wa kike nilimpeleka hospitali moja ya wanawake, lakini madaktari wengi niliokuta ni wa kiume. Picha hii haikuwa ngeni kwangu kwani niliwahi kupeleka...
2 Reactions
3 Replies
984 Views
Wakuu nataraji wote niwazima wa afya, kama tunavyojua wote rushwa ni kosa kwa sheria ya nchi na pengine kwa Mungu, kwa mtoaji na mpokeaji. Swali langu mimi ni ikiwa mgonjwa mwenye hatari ya...
0 Reactions
2 Replies
887 Views
Short cervix ina madhara gan??
0 Reactions
21 Replies
2K Views
jamani naomba ushauri wa kitaalam, mimba inatungwa kwenye uterus au wapi? Kuna dada mmoja ana mimba ya mwezi kama na nusu hivi, anadai mimba imetungwa karibu na cervix, alienda hospital...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kucha zangu zinakabiriwa na tatizo la kuchimbika, je ni ugonjwa gan na naweza kuutatua vipi
0 Reactions
2 Replies
4K Views
habari zenu mabibi/mabwana. Naomba kuuliza siku ya 16 baada ya MP, mwanamke aweza kushika mimba? Asanteni sn
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Naomba kupata maelezo juu ya Tb ya mifupa inapimwaje.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wapendwa! Ngozi yangu (sanasana mikononi) imekuwa na ukawaida wa kuonyesha mishipa mikubwa na minene ya damu (veins) kiasi kwamba imekuwa ikivuta attention za watu pindi wakiiona mikono...
2 Reactions
24 Replies
12K Views
Habari wanajamii Tatizo langu ni kwamba mchumba wangu ni mjamzito juzi nilimpeleka clinic akajiandikisha tukapewa dawa za kuongeza damu jina nimelisahau,,, Tulivyotoka clinic kuna sehemu tukaenda...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
msaada jamani mke wangu anapungukukiwa damu akiwa na miez 3 alienda clinic alipimwa damu ilikuwa 11.4 na Ameenda tena aliambiwa damu imepungua tena na sasa sms miezi mitano na ameambiwa damu ni 9.9
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu. Utafanyeje kwa njia rahisi za ki-local ili ujijue kama una damu nyingi au chache? Asante.
0 Reactions
7 Replies
980 Views
Wakuu wa JF doctor Mdada kapima Ultra Sound na Imeonyesha Kuwa Mimba ina week 6 ila Hakuna Fetal pole wala York sac na Conclusion ni Kwamba ana Anembryonic Pregnancy kwamba Mimba yake haikui Na...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Kwa mujibu wa Daktari bingwa wa Saratani Mama Dominiki Kombe anadai matibabu ya saratani ya tezi dume yanapunguza au kuua kabisa nguvu za kiume.yaani iwe kwa matibabu ya sindano,vidonge ama...
2 Reactions
91 Replies
10K Views
Jaman naombeni msaada dawa ya kumsaidia mtoto aliyekunywa maji tumbon yanamsumbua sana jmn mwenye kujua anipe msaada.
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Habari za majukumu wa ndugu. Naomba kujua kuhusu kujiludia ludia kwa hedhi kwa kina dada Maana mke wangu nw n miezi miwl siku zake ndani ya mwezi mmoja anapata mara 2. Naomba ushauli wa kitabibu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…