Hili limekaa kibaiolojia, kisaikolojia au kidentist zaidi. Je ni kwanini baadhi ya watu huwashwa ama kuumwa na meno iwapo sinia au kitu cha bati kikisuguliwa kwenye mchanga?
Natumai wataalamu...
Mtoto wa mwaka Mmoja na nusu anakohoa leo ni siku ya nane na ni kikohozi kikavu. Alipewa antibiotic fulani ya kifua siku ya kwanza iligoma, basi akachomwa sindano nne za cristapen kwa ajili ya...
The main reason for cancer is mutation such that cells losses their ability to control multiplication as well as genetically make up.
I think this mutation is as the results of body trying to...
Axe kunadhana imejengeka kwa baadhi ya watu kutojihusisha na kazi flani wakiamini kuwa ni za kike. Binafsi nilikuwa naamini kuwa wanao somea u nurse wanawake tyu,hivyo kwenye sekta ya afy...
Habarini za asubuhi wapendwa.
Napenda kujua kuna nguvu gani katika kupiga Miayo/yawning.
Nafahamu miayo inamaanisha uchovu/usingizi sasa kwann ukimuona mtu anapiga mwayo lazma na ww utaiga...
Habari wakuu,
Sumu mwilini hujumuisha vitu vyote vinavyodhuru au kudhoofisha utendaji wa mwili na huingia kwa kuvuta kwa hewa,chakula au mabaki mbalimbali ya mifumo ya mwilini na ili uendelee...
Hello Jf Doctor,
Kuna jambo linanipa utata wa majibu kila napolifikiria.
Kwanza kabisa pongezi kubwa ziwafikie wahusika wakuu na waanzilishi wa Project ya Mwendokasi Dar (UDART)
Ila...
Naomba kuuliza gharama za upasuaji wa Mifupa MOI ikoje Kuna bro wangu alitibiwa kienyeji sasa mfupa unaunga vibaya, hivyo anapaswa kuvunjwa na kuungwa upya
Naomba mnisaidie contact au address au jina la hosipitali na mahali ilipo ya daktari special wa magonjwa ya wanawake.
Iwe ni ndani ya Dar.
Thanks in advance.
best way how to stop masturbation :how to quit masturbation fast guide
best guide to stop masturbation
before reading this guide i just want to tell you that if you find this site helpful , help...
Habarini wanajamvi,
Nina tatizo moja nataka msaada kwa huyu mpenzi wangu ambae amekuwa akipata siku zake za mwezi kila baada ya siku 17 tofauti na kawaida yake ya siku 28. Naombeni kujua kwanini...
Huwa nakula vyakula mbalimbali ila sijui ladha hii ni ya kirutubisho kipi!
Nasikia kuna virutubisho saba i.e proteins,carbohydrates,fats,vitamins,mineral,fiber na water.
Ladha ninazoomba...
Ndugu zangu naombeni mnisaidiee juu ya hili tatizo. Juzi nimenda hospitalini kumwona Dr nikamuelezeaa kuwa tumbo linaniumaa na naharisha vitu kama makamsi sikupima ilaa aliniandikiaa dawa ambazo...
Ni kweli eti kwamba vipimo tulivyo navyo mahospitalini vinatofautiana kiuhalisia kama inavosemekana. Kwa mfano inasemekana kuna HIV determiner yenyewe inadetect HIV after two weeks; kuna nyingine...