Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nina rafiki yangu kipenzi tumetoka nae mbali sana siri zangu zake. Tunaisha pamoja kama ndugu sasa. Tulikutana Alevel huko Moshi na ndipo urafiki wetu ulipoanzia, bahati nzuri tulichaguliwa chuo...
9 Reactions
114 Replies
18K Views
Nimekuwq Naumwa ugonjwa tumbo linauma kila ninavyotaka kwenda haja kubwa na nahisi kuharisha lakini nikifika msalani ni kiduchu sana kinatoka, nikamwona mtaalam mmoja duka la madawa akanipa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maumivu ya ghafla kwenye taya ya jino kulia chini. Msaada Dr. yani maumivi yameanza ghafla nikiangalia sioni jino lililo pekechwa ila kuna moja naona lina mstari mweusi katikati.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kipimo cha tezi dume ni cha kumdhalilisha anaepimwa kwa maoni yangu. Maana nmeambiwa ni lazima dokta aingize kidole mkunduni. Hivi inawezekana nikajipima mwenyewe nikipewa maelekezo? Ma Dr...
1 Reactions
20 Replies
11K Views
Wadau toka juzi nimepatwa na maumivu makali kwenye kidole, mara baada ya kuuliza nikaambiwa kuna mdudu kaingia kidoleni, so kwa sasa nina hali ya maumivu makali eneo la kidole cha kati. Mwenye...
0 Reactions
20 Replies
12K Views
Kwa baadhi ya watu kitunguu saumu kina harufu mbaya, wengine huweza kuharisha, kuamsha vidonda vya tumbo au kusababisha harufu mbaya mdomoni. KWA UFUPI Kitunguu saumu ni miongoni mwa viungo...
0 Reactions
32 Replies
19K Views
Aina za magonjwa ya zinaa, ishara na dalili zake STDs ni magonjwa ya zinaa, pia hujulikana kama maambukizo ya zinaa (STIs). Kwa maneno mengine ni maaambukizo yanayopitishwa kutoka kwa mtu...
1 Reactions
18 Replies
19K Views
Maumivu ya ghafla kwenye taya ya jino kulia chini. Msaada Dr. yani maumivi yameanza ghafla nikiangalia sioni jino lililo pekechwa ila kuna moja naona lina mstari mweusi katikati.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Jamani mwenzenu nina matatizo ya meno kutoboka. Mwaka jana nimeng`oa meno mawili ya Chini , jambo la kusikitisha mwaka huu tena ninaumwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu, Eti ni kweli kuna Dawa ya nguvu za kiume
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Salaam. Naombeni msaada kwa anaye fahamu, Mimi ninatatizo la nyayo kuwaka Moto, ila juzi juzi nimepaka kitunguu swaumu miguuni Na matokeo yake Ni kwamba; MAUMIVU YALIYOKUWA KWENYE UNYAYO MZIMA...
1 Reactions
11 Replies
10K Views
Nina tatzo la vidonda vya tumbo kwa muda wa miaka miwili lakin toka nimepata maradhi hayo na mwaka huu yameambata na mengine. Kama nikiwa na msongo wa mawazo basi tumbo linanisumbua likiambatana...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Indian doctors sue Bill Gates for harming children with deadly 'humanitarian' vaccines Jisomee hiyo habari uone kitu ambacho Billgate analalamikiwa India
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za humu wana Jf Ninaomba kufaham ni wapi au njia nnaweza kupata dawa ya ugonjwa wa uhanithi.Nina rafiki yangu ana hilo tatizo dushe yake inasimama kwa mwaka mara moja tu. Je kuna tiba ya...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu zangu I hope you are doing good with your daily activities. Mwennye ufahamu na hiyo dawa ya Jiko alete mrejesho please. Have a great day you guys.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
A new experimental HIV vaccine, when combined with a compound that stimulates a person’s immune system, demonstrated potential for a path to curing HIV. The small study, involving rhesus monkeys...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Niaje wazeiyaaah EBANA SAWA : Bila shaka nimefanya kitu inaitwa Right content into the wrong group.. Just because wengi mko ACTIVE zaidi huku.... Sasa mazee leo sina story za demu wangu wala...
9 Reactions
113 Replies
15K Views
1) Ni kitu gani kinacho-connect penis na anus? 2) Kuna uhusiano wowote wa penis na anus unaouhisi wakati unajisaidia haja ndogo? 3) Kuna uhusiano wowote wa penis na anus unaouhisi wakati wa...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Nahitaji. Kufahamu Njia Sahihi Ya kuzuia Mwanamke Asipate Mimba.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana Jf, Naomba nielezee tu kwa ufupi nilifanyiwa operation nilikuwa nina tatizo la disk ku collapse ambalo lilipelekea mishipa ya damu kushuka chini miguuni kubanwa nikashindwa kabisa...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…