'Viagra effect' from a daily glass of pomegranate juice
Boost: Pomegranate juice has surprising attributes
kaa mbali na viagra tumia hii juisi na mambo yatakuwa shwari ndani ya wiki...
33 HUMAN BODY FACTS ABOUT BRAIN PARTS AND FUNCTIONS
Nayden Kostov | December 10, 2014 | Human body facts, Interesting Facts | No Comments
FacebookTwitterGoogle+LinkedInPinterestShare...
Jinsi ya kuondokana na janga hatari la ugonjwa wa figo:
1.Usichelewe kwenda HAJA. Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu...
Kwanza nianze kwa kuwasalimu wadau wote wa jf doctor na kuwashukuru kwa mawazo yenu na ushauri ambao umewafungua wengi. Leo tena jamvini nakuja na swali hili na nahitaji kufahamishwa jamani...
Ndugu zangu tuwe makini Condom ni biashara tu na wala hazizuii UKIMWI kwa asilimia (%) zote. ukitaka kuukwepa UKIMWI:
1. Kuwa mwaminifu kwa mkeo/mumeo AU
2. Acha ngono kabisa.
Ndugu wanajamii forum baba yangu alikuwa afanyiwe upasuaji mdogo kwenye ziwa kulikuwa kuna uvimbe alipochomwa sindano ya nusu kaputi mapigo ya moyo yakasimama ghafla na akapoteza fahamu toka...
Mdogo wangu wa ni wa kike ana umri wa miaka 25 na ana mtoto mmoja mwenye miaka 4.
Amekua akilalamika maumivu ya kitovu kwa muda mrefu, nimeshangaa juzi kuona anavuja damu kutoka kwenye kitovu...
Haiwezekani tukae katika jf halafu tusilijadili kwa mapana jambo hili.
Tezi dume matibabu yake yakoje.
kwani umeonekaka kama ungonjwa tishio kwa wanaume naomba wataalam waje watupe namna ya...
wazima humu ndgu? kama title inavyojieleza, mgonjwa wangu kaambiwa ana kivuli upande mmoja wa moyo ambapo doctor anadai ugonjwa huo ni TB ya moyo. kuna zahanati moja hv jina naihifadhi ambayo ni...
Poleni na majukumu,
Naombeni ni wasilishe tatzo langu,uso wangu umekua kama una mabaka mabaka kama mmba hivi hasa hasa sehemu za mashavu kuzunguka mpk kwenye kidevu .Hii hali inanichukiza sana...
Wakuu habari za mida hii,kama mtiakumbuka kuna wakati nilileta lalamiko kuhusu huyu wife kuninyima papuchi wakati mimba ikiwa changa,sasa bora hilo,sa ivi ananisimbua sana,kwanza hataki kukaa na...
Mwandani wangu ana tatizo la kutoa harufu kali ukeni naomba msaada wa nini cha kufanya.Niliwahi kukutana na wataalamu wakanipa sabuni zinaitwa woman wash lakini zimesaidia kwa muda.Tatizo...