Napenda kuwatakia asubuhi njema kwa wale wote mlioweza kuiona siku ya leo na bwana awatangulie.
Mimi ni msukuma by nature and nw niko miaka 27 binafsi yangu nimekulia usukumani ambako suala la...
Kuna ushauri na somo pia napenda kulijua na litanisaidia pia kufahamu hivi kiwango cha juu cha cd4 ni ngp? na je mtu akiwa na chini ya cd4 300 akianza dawa anaweza kusukuma kama miaka mingapi? na...
Katika utafiti uliofanywa kwa vijana 1,500 kuanzia miaka 20 na kuendelea huko Australia ilionesha kwamba asilimia 25 wana matatizo ya jogoo kuwika na asilimia 8 hali ni mbaya zaidi. Jogoo...
Kuna mtu anamimba inayokalibia miezi 9 anatatizo la kutokwa na majimaji kwenye uke ambayo hayana harufu, kwa anayejua sababu na suluhisho la hili tatizo anisaidie
Heshima yako Daktari
Katika maisha yangu sijawahi kushuhudia kupatwa kwa jua "solar eclipse" lakini safari hii nimeletewa fursa adimu ya kushuhudia tukio hilo hapo kesho tarehhe 20. Pamoja na...
ARVs now for any CD4 count.
People living with HIV (PLWHIV) would from October start anti-retroviral treatment straightaway given any CD4 cell count upon testing, the government has announced...
Jamaa Yangu ameniambia mkewe amejifungua Mtoto hivi karibuni. Lakini Mtoto inaonekana ana tatizo la tumbo kuvimba eneo Kati ya kitovu na kifua, uchunguzi wa madaktari eneo alilopo umebaini kuwa...
Habari waungwana,
Shida ni kwamba, tangu jana joto la mwili limepanda sana ili hali sijisikii vibaya, niko sawa tu. Ila linaniletea hali ya uchovu sana kila wakati..
Je, nini tatizo/nini...
By
DENISE ROLAND
Aug. 28, 2016 2:40 p.m. ET
0 COMMENTS
GlaxoSmithKline PLC is pinning the future of its HIV business on an audacious bet: upending the decades-old treatment strategy that has...
Naombeni msaada tafadhali mwanangu hataki kula kabisa ana miezi 11 na alikataa ziwa akiwa na miezi 6.. yaani kula mpaka umkabe natumia nguvu nyingi kumkaba mpaka nahisi namuumiza.
Hataki maziwa...
Quinine yasababisha mtoto kuzaliwa kiziwi
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MATUMIZI yasiyo sahihi ya dawa zenye sumu kali ikiwamo Quinine inayotibu malaria imetajwa kuwa hatari kwa sababu...
habari za kutwa wakuu..
jamani muda kama wa nusu saa iliopita nmepatwa na hali ambayo sijaielewa.
Gafla tu moyo umeanza kwenda mbio sana
alafu nikainuka nilipo nikawa sijielewi nataka kufanya...