Sikuwahi kufikiria kuna siku hospitali zetu zitakosa sindano muhimu kama hii ya tetenas teba haoa Dar. na wizara ya afya ikakaa kinya bila hata kutoa tamko au kutujulisha wananchi juu ya uhaba...
Je, una mtoto mwenye tabia zifuatazo;
*Mtundu kupita kiasi?
*bado hawezi kuongea ingawa umri wake inatakiwa aongee?
*hulia ama hucheka bila sababu?
*Anachakua sana chakula kupita kiasi?
*je...
Juzi ulisema madaktari wanafanya biashara na MRI kwa kuwaelekeza wagonjwa kwenda kwenye hospitali binafis. Bado mchezo huo unaendelea. Leo wagonjwa bado wanaelekezwa huko kwa watu binafi. Chukua...
Naamini almighty amewapa afya, na wale wauguao mungu awaponye!
Niende kwenye shida yangu straight, Ni week ss sijakutana namwanamke ila kuna mabadiliko yanantisha kidogo hasa niendapo haja ndogo...
Hizi Bisi Ni Maarufu Sana Manjiani Na Kwenye Kumbi Za Sinema. Nauliza Hivi Maana Kama Mahindi Ya Kawaida Leo Yamekuwa Hatari Katika Kutengeneza Unga Wa Dona Kutokana Na Kuvu, Hizi Bisi Hazina...
Tatizo limeanza 2006 4m4
2008 zilitolewa lenzi na kuwekwa za vioo na kupewa miwani kila baada ya miezi kadhaa naandikiwa namba ya lenzi kubwa kwa maana ya uono hafifu pia maji yamepungu jichoni...
Habarini wakuu.
Tumaini langu wote ni wazima. Kuna jamaa angu anasumbuliwa na figo...amekuwa akivimba mwili mara kwa mara, hospitali alichek akaambiwa ana tatizo la figo lakini hakupewa dawa...
Kila nikisex na gals baada ya tendo analalamika tumbo linauma, sasa nashindwaga kuelewa sijui kudo vizuri au nina machine kubwa kiasi kwamba nagusa pasipo ila mimi machine yangu ya kawaida sana...
With the scourge of HIV/AIDS continuing to plague mankind, the 21st International AIDS Conference saw the participation of thousands of attendees from different walks of life in order to pursue...
Habari Ndugu zangu,
Naomba mnisaidie nifanye nini niweze kudumu angalau kwa mda mrefu zaidi katika tendo la ndoa na mke wangu, maana yani nikienda round moja tu ya dakika moja au mbili tayari...
Asallam aleykum, ndugu zangu..
Mimi nina tatizo, na tatizo hili lanamsibu Mke wangu,
Mkewangu kila apatapo ujauzito ifikapo miezi mitatu na kuendelea huwa anatokwa na damu puani, leo hii pia...
Habarini za weekend wana JF wenzangu,
Kama nilivyoandika kichwa cha habari hapo juu mke wangu ambae ni mke wangu mtarajiwa huwa anapata mamumivu makali sana kila baada ya kufanya mapenzi...