Utafiti unaonyesha kuwa madaktari wa nchi za kusini mwa Afrika wanatoa dawa nyingi zaidi ya zilizoagizwa na Shirika la Afya Duniani WHO.
Utafiti huo uliofanywa na Chuo kikuu cha London kwa...
Nisaidieni dawa ya kuvimba miguu, nasumbuliwaga sana na tatizo hili nyakati za mchana tu ila nikiamka asubuhi huwa niko sawa ila kadri siku inavyokwenda ndivyo inavyozidi kuvimba, mimi huwa nakaa...
Naomba ushauri au kujua nini kinaweza sababisha mtu ukiamka asubuhi uso macho na vidole kujaa au kuvimba?? Nimechk,sukar,wingi wa damu,malaria,typhd,mkojo ,pressur kila kitu kipo normal naombeni...
Habari wanajamii...
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25. Hii ni mara yangu ya kwanza kuwa na mpenzi tuliyedumu nae kwa miaka mitatu sasa. Mpenzi wangu aliwahi kuwa na mtoto mmoja kabla...
Habari zenu wadau,
Kuna ugonjwa umeanza kuenea kwa kasi ambapo ukienda hospital madaktari wengi wanadai kutouelewa huu ugonjwa hasa hospitali za mikoani,
Dalili zake zinafanya upande mmoja wa...
Nimekutana na huyu dada week mbili zilizopita. Amekuwa ni mtu mwenye huzuni kila ninapokuwa nae
Hatimae Leo kanisimulia tatizo linalomsibu .Hii hali ilianza toka alipovunja ungo miaka miwili...
JF Doctors
Ninataka nijue kama kuna madhara ambayo mwanaume anaweza kupata kutoshiriki tendo la ndoa wakati alikuwa amezoea kufanya hivyo kwa mara kwa mara na mke wake. Hii inatokea wakati...
Habarini wana JF,
Hivi kuna athari au madhara yoyote yanayoweza kujitokeza kwa mama au mtoto endapo mama hatafanya mapenzi tangu mimba ikiwa changa hadi siku ya kujifungua?
Kwa wale mlioteseke na madawa mbalimbali ya kupunguza uzito, kuvaa mikanda na kuhangaika kwenye magym na kubeba vitu vizito pamoja na kuteseka kufunga au kushinda bila kula na kusababisha vidonda...
Nilifanikiwa kupata mwenza wa maisha (kuoa) mnamo mwaka 2006 kipindi ninaoa mimi nilikua na uzani wa kilo 50 na wife alikua na kilo 42 maisha yalisonga tukapata mtoto wakwanza. Wife alijifungua...
Shirika la kimataifa la Save the Children limetahadharisha kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjano katika nchi za Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Angola.
Pia imesemekana kuwa hivi...
Naomba mawazo yenu katika tafiti hii ninayoifanya kuelewa tatizo au kero katika upatikanaji wa elimu, ushauri, na habari za kiafya. Mimi ni mfanyakazi wa afya ya jamii. Katika kazi zangu...
Kwikwi hutokana na kushtuka na kusinyaa kwa ghafla kwa misuli mikuu ya upumuaji (diaphragm) ambako hujirudia rudia na kusababisha hewa kuingia kwa kasi kwenye mapafu.
Hii husababisha milango ya...