Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naombeni msaada wa jinsi ya kupata dawa ya driclor coz nimesikia inatibu excessive underarm sweating.Plzzzz nisaidieni jamani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua kama kuna watu hushauriwa na madaktari wasipande ndege mara kwa mara au kusafiri na flight za masafa marefu bila kutua na kupumzika kwa muda(non-stop flight). Kwa yoyote aliepanda...
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Aman ya Muumba wa mbingu na nchi iwe nanyi wadau. Nina shida kidogo ningependa kushea nanyi ili mnipatie ushauri na pengine kutatua tatizo hili. Nina mke wangu ana ujauzito wa miezi 4 kwa sasa...
1 Reactions
11 Replies
61K Views
Ilianzia mwishoni mwa karne ya 19 kulikuwa na misemo mingi ya wanasayansi na madaktari juu ya antibacteria unyevu na ukungu ikiwemo penicillin ukungu, lakini hawakuwa wamegundua njia ya uhakika au...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Wakuu ni kwamba takribani mwaka mmoja tatizo la macho yangu kupoteza mwelekeo wa utendaji kazi na kusababisha nianze kuona kama kuna giza au ukungu vile wakati ni mchana. Hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tezi Dume ( Prostate gland ) Tezi dume ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume . Inaundwa na sehemu mbili, lobes, ambazo zimeunganishwa na kufunikwa kwa nje kwa utando wa tishu . Tezi hii...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Doctor naomba msaada juu ya tatizo la macho kutokuona vizuri kwa mda kama wa dakika kumi halafu baada yahapo kichwa huanza kuuma sana. Kwangu mimi limenichanganya hivyo naomba msaada wenu madaktari.
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habarini wadau. Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia wanaume na wanawake wenye tatizo la kitambi yaani tumbo kubwa lenye mafta mafta ili muweze kushauriana namna yakukipunguza kama sio...
0 Reactions
80 Replies
8K Views
Napenda kuuliza hivi kabla ya hizi dawa za usingizi/ganzi hazijatambuliwa watu walikuwa wanafanyiwaje upasuaji au hata kushona vidonda vikubwa?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Naomba kujua kitaalamu ni vipi vidonda msongo wa mawazo unasababisha vidonda vya tumbo?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habar wanajamvi... Nina mtoto wa dada yangu wa kike anatimiza miaka nane mwezi wa kumi na moja, lakini ni mwembamba na utadhani ana miaka sita. Mara nyingi anasema maziwa yana muuma yakiguswa...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari zenu wanaJF. Naombeni msaada wenu jamani, Matiti yangu yamekuwa makubwa kuliko kawaida yake, lakini hayana maumivu yeyote, na pua zangu zinanusa vitu kwa haraka sana kuliko kawaida...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello JF MMU members? Jamani nahisi nina tatizo la kisaikolojia linanisumbua na ninaomba kushauriwa nini cha kufanya wakuu siku za hivi karibuni nimejikuta kwanza napenda kukaa mwenyewe mwenyewe...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Ndungu wana JF, Hivi tatizo la uume kusimama kila wakati ni nini? Maana hali imekuwa ya kudumu pia huwa napata shida hususani pale inaposimama nikiwa class or kwenye mkusanyiko tatizo ni nini doctor?
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Hapa namaanisha maziwa ya ng'ombe baada ya kuyakamua, ninywe hivyohivyo? au yafaa yachemshwe na kwa muda gani labda? au..? au..? Wajuzi mnlsaidie!
0 Reactions
5 Replies
833 Views
MODDS nawaomba msihamishe hii post kwa FAIDA yetu sote: Watu wengi Tanzania wanakuwa Vibogoyo au nusu vibogoyo kwa kupoteza meno yao kwa kuyang'oa kutokana na maumivu makali waliyoyapata. SWALI...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari, Mi na mke wangu tumezaa mtoto mmoja wa kike, ana umri wa miaka minne na nusu sasa. Tuliamua kuzaa tena, tukaanza kama mara tatu hivi wife alionekana kama mjamzito ila baada ya wiki...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wengi wetu twadhani kwamba mtu anapopga Mwayo(Yawn) ni dalili za Uchovu, Njaa au kukereka. La Hasha! wataalamu wanakwambia tunapopgia Mwayo Tunapooza Ubongo(Cool down our Brain System) Na ivyo...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Katika hatua zote za makuzi ya binadamu wa kawaida, kuna mabadiliko ya kimwili ambayo hutokea tangu utotoni mpaka uzeeni. Ni mabadiliko ya urefu na uzito. Na katika kila hatua, uwiano uliopo kati...
1 Reactions
1 Replies
8K Views
Ndugu Zangu. Zingatia kichwa hapo juu. Nina mgonjwa wa mguu kwa muda sasa na tumejaribu matibabu mengi sana bila nafuu. Wiki kadhaa nyuma akapata mtu alie na vidonge vya dawa tajwa hapo juu. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…