Nina rafiki angu wakike ameenda hospitali leo akiwa anasumbuliwa na maumivu wakati wa haja Kubwa. Alipoingia chumba Cha daktari akawakuta madaktari wa5 Kati Yao wa3 ni wakiume na wa2 ni wakike...
Jamani wanajamvi wenzangu, poleni kwa majukumu ya hapa na pale hasa ya kuelimishana humu jamvini.....
Sasa ni hivi shemeji yenu ambaye ni
mke wangu ana ujauzito wa miezi mitano......Ila shida...
habarini wanajamvi
nisiende mbali sana,swala ni hili:
Huwa nasikia watu wengi wanadai wanachafua mashuka kwa kuota ndoto nyevu usiku,na wengine huenda mbali nakudai hua wanavunja madafu adi mala...
Mdau anaomba msaada toka kwa wajuzi wa hili tatizo:
Mke wake amekuwa akipata tatizo la mimba kuharibika kwa kutokana na presha. Kila akifikisha miezi6 hali inabadilika na mwishoe mtoto hufia...
Wakuu habari za jumapili!leo naomba tukumbushane kuhusu umuhimu wa papai.
Papai ni tunda la jadi na mmea wa dawa. Hurefuka hadi kufikia meta 7 kwenda juu.
NAMNA YA KUTUMIA
1.Kusafisha majeraha...
Wana JF naombeni msaada juu ya hili.
Ni siku kadhaa zimepita toka nilipoanza kuvimba kidole cha mguu ghafla sijui ni kwasababu gani lakini kila siku kinavimba na kuuma. Je yaweza kuwa...
Habari wajumbe Kuna mdogo wangu amepata tatizo chuchu zinamuuma hadi kutoa damu ila hajui chanzo cha tatizo Hilo,umri wake ni miaka 20 na hajawai kuzaa.
Swali:Ni nini chanzo na tiba yake?
Uzito nilionao una muda wa miezi 3 sasa ninauhisi kwenye kifua kwa ndani mpaka mizizi ya shingo inauma. Naombeni mnisaidie kwa tiba au ushauri, wengine wananambia ni gesi. Lakin naamini hapa...
Jamani habari zenu,
Mi mwanaume now nipo chuo mwaka wa kwanza , sasa nataka kwenda kutahiri likizo hii naomben ,mawazo na ushaur, alafu je, nitakaa muda ganu mpaka kupona? nijitunzaje...
Mimi naomba kuuliza wakati nikiwa kwenye tendo zima la kujamiiana nashangaa kuona maji mengi kiasi kwamba naweza hata kuyakamua baada ya tendo kila ninapojaribu kumwweleza mwenzangu ni kitu gani...