Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naombeni msaada wenu tafadhali kuhusu matumizi ya dawa hii. Inatibu nini hasa na sio dawa za uzazi wa mpango kweli!? Na inauhusiano wowote na maswala ya hormone kwa mwanamke!? Msaada wenu tafadhali
1 Reactions
1 Replies
14K Views
Wapendwa natumaini mu wazima wa afya, nina nyanya yangu mwenye umri wa miaka 80 na ushee hivi, amekuwa akiugua hapa na pale, mnajua mambo wa uzee tena, sasa hapa juzi kati hospital (kcmc)...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
MAMBO 10 YA KUZINGATIA ILI KUPUNGUZA UZITO WAKO KWA URAHISI NA HARAKA ZAIDI Pata kifungua kinywa chenye protein kwa wingi. Kula kifungua kinywa chenye protini kwa wingi imeonekana kupunguza...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kama heading inavojieleza hapo juu[emoji115].masikio tangu huwa yananiwasha mara kwa mara,nikifikicha na pamba au kidole huwa kunatoka vitu kama nta iliyogandia na kukauka.sasa sijajua tatizo ni...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Jee ni hii ni dawa ya kweli ya kutibu tatizo la uzazi kwa wanaume? Infertility Treatment – A Boon For The Hopeless Couples Benefits of Baby Capsules- Increases sperm motility Make sperm...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kutokana na maneno mbalimbali ya watu mitaani, wengi wanadai kwamba maji ya madafu yanasababisha kupata busha. Kwa muda mrefu tumekuwa tunatishwa sana kwamba wanaume tusinywe maji ya madafu au...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari zenu wandugu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu hili tatizo lilimpata kipindi fulani akiwa mjamzito ikasababisha mimba kutoka sasa naona limerudi tena nini inaweza kuwa tatizo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I want to know negative effect of masterbation Kwa ufahamu mdogo niliokua nao hivi, kwanza kabisa puchu/punyeyo hufanyika kwa hisia ya kufanya ngono na mtu au hisia za picha za ngono ulizoona au...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
1.Juisi ya aloe vera (mshubiri) Juisi ya Aloe Vera huongeza kinga ya mwili. Mu-aloe-vera una viinilishe vingi sana muhimu kwa afya ya binadamu. Una vitamini A, B, C na E. Mmea huu una orodha ndefu...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
PROSTATE CANCER TREATMENT. 1. B-CAROTENE & LYCOPENE CAPSULE :: supplements body with vitamin A :: serves as a strong antioxidant which deactivetes free radicals :: prevents cancer,especially...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Nawasalimu wote, shida yangu ni kuwa nimepatwa na jipu sehemu za siri likiwa na maumivu makali pembeni kidogo ya kiungo changu cha uzazi upande wa juu. Nina aibu ya kwenda hospitali, mwenye kujua...
0 Reactions
26 Replies
33K Views
Ndugu wenzangu kwanz habar zenu. Mm jaman naomb msaada wa tiba ya maradh nilonayo. Kwani shingo inanipa tabu sana. Hasa pale nnapo amka asubuhi nikigeuza shingo inakua kama ina data ndani...
0 Reactions
4 Replies
39K Views
Tumezoea kuambiwa madhara ya simu za mikono na wataalam mbalimbali wakiwemo wa afya. Madhara haya twaambiwa wenda yasionekane kipindi cha awali cha matumizi ya simu, na badala yake kuonekana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu anaumwa macho, yanatoa machozi tu...katumia Dawa zote lakini Bado tatizo liko pale pale... Naulizia daktari yupi wa macho ni mzuri kwa Dar na anapatikana hospitali gani na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini, Kuna dawa yeyote ya kunyoosha ili iwe inanyooka? Nimeona kama ni tatizo kwa wale waliobahitika kupitiwa wanalalamika mno kuwa wanaumizwa hususan pale inapokuwa inakoboa vilivyo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Naombeni msaada nini kinasababisha sehemu za siri mwanamke kuwa na moto sana? na hakuna ugonjwa wowote. Madhara yake ni nini? Asanteni
0 Reactions
37 Replies
17K Views
siku yatatu leo macho na mdomo viungo hivi vinatetemeka sasa hasa macho juu ya kope sijajua tatizo nini
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari za usiku wapendwa.. Mim ni baba wa mtoto mmoja wa kike, leo usiku huu tukiwa tunaingia kulala na mke wangu ikabidi amangalie mtoto Kama amekojoa ili ambadilishe nguo ili tulale.... Wakati...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimempeleka mtoto hospitali baada ya kuona hana furaha, amebainika ana malaria. Dk kamwandikia dawa inaitwa cortecian, moyo wangu umekuwa mzito kununua, naomba ushauri ...ni mara ya kwanza...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
MADAKTARI WALIOGUNDUA VIPANDIKIZI VYA KANSA KWENYE CHANJO WAMEULIWA Si mda mrefu kupita Neon Nettle walitoa taarifa jinsi madaktari wanavyouliwa, wengi wao wakitokea Florida,Marekani Wataalamu...
4 Reactions
29 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…