Asalaam wanabodi, tafadhali naomba kufahamu chanzo kinachoweza kumsababishia malengelenge msichana ambaye hajazaa kwenye mirija yake ya uzazi. Pia endapo kuna madhara makubwa anayoweza kupata na...
Jaman kuna dawa zina madini ya Folic acid ni maalumu kwa ajili ya mama mjamzito na bei yake hipo juu sana, lkn juzi nilinunua dawa hizi lkn wife akanambia zinautofauti na zile nilinunua mara ya...
Nimekuwa nikisikia habari za wachawi na kupenda mimba changa, kina dada wengi wanalia na kukosa amani pale anapojiamini amenasa lakini baada ya wiki mbili au tatu anashuhudia damu na hatimaye...
Millions of people are affected by the excessive drinking of someone close. The following questions are designed to help you decide whether or not you need help
1. Do you worry about how much...
Habari Wanajamvi!
Daktari wa magonjwa ya wanaume anaitwaje, na ninaweza kumpata/kuwapata hospitali zipi hapa Dar es salaam! Ni swali nililoulizwa na rafiki yangu, nami sikuwa na majibu ya...
wakuu nimekua na tatizo toka mwaka 2010,nilinyoa makwapa na baada ya kuoga nilijipulizia perfume,toka siku hyo makwapa yanawasha sana,yaan nakua uncomfortbl,haipiti dakika 3 inatokea...
Kondom sio kinga ya Ukimwi tujitahadhari wabongo tutakwisha
Virusi vya HIV hupenya
wabongo wenzangu baada ya kimya kirefu kwenye group nimerudi kwa kuchangia maoni na mnaonaje haya...
ACHA TABIA HIZI UEPUSHE MAGONJWA KAMA
(Sukari,presha,vidonda vya
tumbo,upungufu wa nguvu za kiume,matatizo ya uzazi na kansa)
ULAFI
Kwa kawaida, mtu anapokula vyakula ambavyo havina...
Kampuni ya Johnson & Johnson inayotengeneza Baby Powder imepoteza kesi ya $55 millioni baada ya kushitakiwa na mwanamke aliyepata sarakani ya ovari aliyodai imetokana na matumizi yake ya baby...
Wana JF abortion(utoaji mimba) inayokubalika kimaadili ni moja tu. kwa ufupi zipo aina kuu 2 za abortion:
1. Spontaneous or Natural abortion wakati mwingine inaitwa miscarriage hapa mimba imetoka...
Wana jamvi habarini ya mda na wakati kama hii,naombeni ushauri wenu mana hali kama hii inatatanisha,kuna mtoto wa ndugu yangu wa miaka 7,alishikwa na home kali kwa gafla,waliosema lao wakasema ni...
Nina wito na mapenzi ya dhati kuwa daktari.
Nilianza jaribu kutimiza wito huu kwa kusoma masomo ya sayansi O-LEVEL,nimefaulu vizuri masomo hayo.
Advance nikashndwa kumudu kusoma PCB kwa...
Jf doctor naomba kujua mwanamke aliyejifungua anatakiwa akae muda gani kabla ya kuanza kufanya tena Mapenzi?Nauliza hivi kwa kuwa kumekumekua maelezo tofauti tofauti Wengine wakisema harusiwi...
Maumivu ya jino ni moja ya maumivu mabaya sana kuyapata, maumivu mengine mabaya ni ya sikio. Jino linaweza kupatwa na mavumivu ambayo yanaweza kupelekea jino kutoboka na hata kuong’olewa kabisa...
Habari wote.
Naomba kujuzwa kitaalumu kuhusu uvimbe kwenye mfuko wa uzazi,nina mpenzi ambaye mara kadhaa mimba zimekuwa zikitoka na alipoenda kipima akaambiwa kuwa ana uvimbe kwenye mfuko wa...
Habari za muda huu wapendwa waheshimiwa madaktari wa jamii forums ,
Mimi ni kijana wa miaka 24 ninaishi katika mji wa ushirombo mkoani geita wilaya ya bukombe.
Ombi langu kubwa lililonileta humu...
Je, inawezekana mwanamke kupata hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja?
Mfano tarehe 1 May na 26 May, je hali hii ni kawaida au ni tatizo?na kama ni kawaida kisayansi ipoje?
Na vipi kuhusu siku...