Mke wangu alipata mimba mwezi wa 11. Mwanzoni mwa mwezi wa 12 aliumwa sana tumbo na damu zilimtoka karibu wiki nzima.
Binafsi nilidhani ni miscarriage (mimba kuharibika), ila toka juzi kajisikia...
Imekuwa inatokea kw nyakati tofauti yaani baada kupiga goli moja yaani msela analala mazima kabisa hata afanyiwe vp hashtuki.
Kipindi cha nyuma kdgo nilikuwa fit naweza kuunga ht vitatu yaani...
Wakuu poleni na majukumu,
ni wiki ya pili sasa nasumbuliwa na msuli wa mguu wa kulia, mwanzoni mguu ulianza kuvimba kuanzia magotini hadi chini ila haukua na maumivu, ila kila nilipojaribu...
Sio kitu cha kawaida kabisa,mpnz wangu anaenda siku ya nane sasa ana bleed,tulienda hospital akapewa dawa,kidogo alikuwa sawa,lakini kwa sasa hali imejirudia tena,ana bleed tuuuuu!!!wataalamu wa...
kuuona mwaka mpya ni jambo la kheri!
hongereni wakuuu, na poleni kwa kusherehekea!
ningeweza kusubili sikukuu ipite lakin mbele ya tatizo ngumu sana kuvuta subira!!!
kama kichwa kinavyojieleza...
Natumani mu wazima ndugu wanajamvi
Ninaomba ushauri wenu, katika msimu huu wa sikukuu i'm going to meet with my husband na tunaishi tofauti kwa sababu za kikazi
Sasa hizi siku ambazo tutakuwa...
Habarin wana jukwaa hili la wataalam wa afya zetu..mimi kuna kitu naomba madaktar mnisaidie..
Mtu kutokwa na udenda mdomoni..pengine akiwa amelala au mwingine unakuta amekaa tu gafla udendan...
Habarini za saa hizi wapendwa,
Jamani eti kichwa kuuma na mwili kuuma mara baada ya siku moja baada ya ku 'do' (kufanya mapenzi) ni dalili za ujauzito au ni kuchoka tu?
Maana naona ni mapema...
Heshima kwenu..
Wadau ningependa kujua je kuna uwezekano wa mswaki kubaki na vimelea vya ugonjwa baada ya mgonjwa kupona? Namaanisha kwamba mgonjwa anaweza kupata vimelea vya ugonjwa vilivyobaki...
Naomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!
Wakuu, nimekuwa na tatizo la kuchubuka ulimi, hasa sehemu ya mbele ya ulimi.
Nimeenda hospitali mara zaidi ya tatu, na nimekuwa nikipewa vidonge vya vitamini (sina uhakika ni vitamini A, B au C)...
Mimi na mke wangu tumeoana miezi minne iliyopita. Tumejaribu sana kufuata taratibu zote ikiwemo kuhesabu siku zake za urutibisha lakini hatujafanikiwa...
Je, nifanyeje kuweza kufanikisha hili...
Nikiwa katika period miguu na kiuno kinauma sana. Hospital wamenipa dawa ambazo nameza kila mwezi nikikarbia kuingia tena.
Nani anajua dawa ya kuponyesha kabisa?
Jana yalianza maumivu ambayo naona leo yamepungua, ila nashangaa kuona uvimbe!!
Sijajua exctly kipi kimesababisha...ila juzi niliendesha gari kwenye rough road karibia 8km...kabla ya hapo...
Habari zenu wakuu.
Naomba msaada nasumbuliwa na uvimbe(jipu) sehemu za makalio, nitumie dawa gani Lipone?
Iwe ya kienyeji au ya kizungu maana linauma mno likiguswa tu.
Unajihisi unataka kuamka na upo kwenye akili za kawaida kabisa lakini hauwezi kusogeza hata msuli mmoja wa mwili wako hata ukipiga kelele sauti haisikiki. Nina maswali kuhusiana na hili
(1) je hii...
Kwa kifupi sana, nimesikia mitaani, eti ukimtahiri mtoto mdogo toddler (sio mchanga,) uume wake hautaongezeka, yaani wakati sahii afikishe miaka saba na kuendelea ama awe mchanga kabisa. Naomba...