Huyu mwanamke alibeba mimba mwezi wa 4 mwaka huu maana mara ya mwisho kuona siku zake ilikuwa tarehe 23 march na tarehe 6 amejifungua salama kabisa mtoto mwenye afya nzuri na ana uzito wa kilo...
kutapika hutokea pale akili inaposense kwamba kuna sumu imeingia mwilini. kwahiyo kutapika ni njia ya kutoa sumu mwilini. kuna wale hutapika wanaposafiri. hii hutokea kwasababu sehemu ya ubongo...
Kuna mtoto kazimia gafla nikampeleka hospital nikamkuta Ana sukari ya kushuka. Je nini sababu ya sukari kwa mtt? Je afanyeje ili aweze kuushinda ugonjwa huu hatari? Je anaweza kupona??
Habari wakuu,
Kama tunavyofahamu, kila jambo na wakati wake.
Tupo katika karne ya 21 ambapo vijana hujiingiza katika ngono wakiwa wadogo, wengi wao kabla ya miaka 18. kufanya hivi kuna hatari...
Wana jamvi,
Leo tumeona tuwakumbushane mambo kadha wa kadha kuhusu kujihusisha na ngono, hasa kama haupo tayari kuwa na mtoto.
Kuna hatari kubwa ya kupata mimba unapojihusisha na ngono, lakini...
Heshima kwenu wakuu tafadhali naomba kujuzwa.
Nina mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na nusu nisiku ya pili leo akianza kukojoa analia na anakojoa kidogo kidogo sijajua tatizo ni nini hasa.
Afya yake...
Habari zenu wanajukwaa, naomba kwa anayefahamu REHAB nzuri ikiwa pamoja na gharama zake na mkoa ilipo, naomba anisaidie nipo na uhitaji sana wa kuokoa maisha ya kaka yangu.
Habari wana jamvi...
Mwenzenu nina tatizo ambalo nilifanyaga uzembe nikiwa mdogo,jino la juu upande wa kushoto katikati lililegea nikajiakiacha sikulitoa...baada ya muda mchache jino jingine...
Autism: Watoto wa Kisasa na - (afya ya ubongo)
watoto wengi wanaozaliwa sasa wana matatizo ya ubongo, brain spectrum, yaani autism. hata nchi zilizoendelewa zimekumbwa na janga hili kubwa...
Naomba kujua dawa nzuri ya kutibu maji, hasa angavu kama ya mto, yafae kwa matumizi ya nyumbani kama kunywa, n.k. Pia naomba kujua ujazo, bei ya dawa husika, na madhara yake.
N.B. Nataka kutibu...
Uzito na unene uliopita kiasi siomzuri kiafya huweza kusababisha magonjwa kama
Kisukari
Matatizo ya moyo
Matatizo ya pressure na
Stroke
Punguza uzito kwa kutumia dawa ambazo hazina kemikali...
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani.
Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ?
Ukosefu ama upungufu...
Ni maziwa gani mazuri ya mtoto wa umri wa miezi miwili.
Kwa maana wife anataka kumwanzishia mtoto maziwa kwani likizo ya uzazi ndo inaisha.
Naomba msaada wenu wazazi wenye uzoefu na maziwa ya...
Nimejaribu kujizuia lakini nashindwa. Nakunywa wastani wa coca cola 4-5 kwa siku. Nikiamka tu kabla sijala chochote nakung'uta coca baridi. Nikigonga supu naisukumia na coca baridi.
Mchana...
We are constantly looking for new ways to improve health and treat specific ailments ? an endeavor that takes us around the world and into many different cultures. During one of those quests, we...