Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wadau mm ni kijana mwenye afya njema tu, sema nimekuwa nikisumbuliwa na malaria mara kwa mara hali inayopelekea niwe nameza vidonge mara kwa mara kitu ambacho kiafya sio kitu kizur! nimepima...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
My wife one month ago delivered a baby and she is afraiding of conceiving again.Is it possible that to happen such earlier?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Siku ya UKIMWI duniani inaadhimishwa tarehe mosi desemba kila mwaka, kutoa fursa kwa jamii kuungana ulimwenguni kupiga vita gonjwa la UKIMWI, kuwapa moyo wale wote wanaoishi na virusi vya ukimwi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ulaji Wa vyakula vya sukari,vyakula vyenye kemikali za vionjo kama rangi,radha, na sukari iliyo ongezwa,vihifadhi vyakula katika makopo, box na ulaji wa vyakula vyenye High glycemic index ndio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wandugu, Natamani kunenepa. Nimechoka kutaniwa mkomao! Sasa nina rafiki yangu ambaye ni bonge, yeye asipokula siku 2 utamuona kabadilika kabisa...yaani kapungua ni hatari! mimi ni mwembamba...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Poleni na Majukumu. Miezi 2 iliyopita nilikutana kimwili na demu wangu wa siku nyingi ambaye tulikuwa hatujaonana takribani miaka 3. Hatukutumia kinga. Baada ya wiki 1 nikaanza kutokwa usaha...
0 Reactions
63 Replies
13K Views
Jamani kwa anayefahamu gharama ya vipimo vya utrasound kwenye hospitali za serikali anifahamishe. Nina tatizo la mirija ya uzazi kuziba. Je! tatizo hilo atibabu yake ili kuzibua mirija ni lazima...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Morning, Je kuna dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi ambao uko chini ya siku 28?
0 Reactions
18 Replies
26K Views
Kwa vile kesho ni siku ya AIDS ya Dunia,nimeona niweke hii posting.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NATIBU KISUKARI, CHANGO LA UZAZU, NGUVU ZA KIUME, KUJIUNGA FREEMASON NA DAWA ZA MAPENZI Habari nzuri kwa watanzania na wale wageni waishio ndani na nje ya nchi. Mtaalamu Bingwa wa Tiba za jadi...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Uhusiano kati ya free radicals vs magonjwa ya Binadamu Maswali: 1.kwanini hata baada ya kula balance diet & kufanya mazoezi bado magonjwa kama kisukari,pressure,cancer,stroke bado ni...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wadau, Sote tunapenda watoto. Watoto ni lulu. Watoto ni zawadi. Watoto ni furaha, hasa akizaliwa katika wakati uliokusudiwa. Kwa bahati mbaya kuna wakati tunachelewa kuwapata kwasababu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salam kwenu wakuu, Ni mara nyingi nimekuwa nikisikia habari za mama mjamzito kuwa anatakiwa atengeneze njia ya mtoto, kwa kukutana na mwenzi wake. Je ni kweli kuna ulazima wa kufanya hivyo...
0 Reactions
14 Replies
16K Views
Habari zenu jaman nahitaji msaada jinsi ya kulea au kutunza mimba ikiwa changa ndo mimba ya kwanza sijui chochote naomba mnasidie vitu gani vya kuwa navyo makin au kuacha kbs ktk kipindi iki
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Haki ya Mungu namuacha kwa hali hii. Wana Jf nawaombeni ushauri. Kama nisipopata ufumbuzi tunaachana. Namulaumu sana baba yangu kwa kunitafutia mwanake wa kuoa ambaye anaharufu kali na mbaya...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Tafadhali naomba mtu aniambie current updates za PMTCT guidelines.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibuni mtoe michango yenu kulingana na uzoefu au utaalam wenu kwani kwa bahati mbaya nimejibana kama siyo kujikwangua na zipu ya suruali yangu...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari zenu, Mimi ni msichana wa miaka 24, juzi kati baada ya kukutana kimwili na mume wangu nimeanza kusikia kichwa kuuma asubuhi, tumbo kuwa kama lina gesi na kuuma, mgongo kuuma, na kiuno...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Napenda kukukaribisha tena katika jukwaa langu la afya yako, leo hii napenda nizungumzie tatizo ambalo limekuwa ni kubwa sana kupita kiasi kwa kila m, tatizo ambalo linayumbisha na kuweka ndoa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wakuu, Sijui ni ugonjwa au udhaifu yaani nikiskia harufu ya petroli yani najisikia burudani yani napenda sana niwe napita maeneo ya sheli au gari nililo panda lipite sheli huwa natoa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…