1. Usidanganye/
2. Mpe daktari sababu za kumtembelea. Kawaida sababu ni dalili, na si jina la ugonjwa udhaniao wakusumbua. Mfano kuna tofauti kubwa mtu akienda kwa daktari akasema ninajisikia...
Kuna wafanyabiashara wasio waaminifu wanauza virutubisho viitwavyo Trevo. Soko lao kubwa ni waathirika wa UKIMWI. Kwa bahati mbaya sana, wengine wanatumia uwongo ili kupata wateja wengi kwamba...
Mkuu,
Nashukuru kwa Service Yako, Mimi Ninasumbuliwa Na Tatizo La Macho, Kipindi cha juakali, macho yana kuwa mekundu kuzid mpaka machoz, ila kwenye dark day najiskia vizur.
Hello Doctors,
I just had my CBC test and I'm realising that;
1. Granulocyes absolute count = 3.5x10^9/L
2. Granulocytes %ge = 52%
3.White blood cells = 6.6x10^9/L
4. Red blood cells =...
Napita kipindi kigumu sana
Siku moja nikiwa sehemu nilihisi kama kitu kimenipiga usoni, nikapoteza nguvu ghafla, nikakaa kwa muda. Nikaomba msaada, ndugu akanisaidia.
Nikalala, asubuhi...
Wakuu wa Nchi naomba kuuliza , kama mtu ana kisukari type 2, ambacho kilikuwa 19 akaweza kukicontroll mpaka 6.3, vipi nguvu Zake za kiume zitarudi normal? Na vipi kuhusu uzalishaji wa sperms...
Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha kwamba ni asilimia 4 tu ya watu duniani wanafurahia tendo la ndoa ipasavyo wengine...
Jaman hivi mtu anapopatwa na tatizo la kupooza upande kutokana na tatizo la BP , Je hali ya mgonjwa hurejea kama kawaida?
Yaani hali ya kuupooza inaweza kutoweka?
Habari za kazi ndugu!
Mi ni mwanafunzi wa Biomedical Engineering niko mwaka wa pili na nikiingia mwaka wa tatu inabidi nichague upande ambao nitaendelea kusoma medical devices, nikiwa na maana ya...
UMUHIMU WA YAI KAMA KIFUNGUA KINYWA
YAI MOJA LAFAA SANA KUKUEPUSHA NA MAGONJWA YA MOYO NA KIHARUSI
KULA YAI MOJA LA KUCHEMSHA KILA SIKU,USIZIDISHE MAANA MAYAI YANA KALORIES NYINGI SANA.
Habari ndugu zangu wa jamiiforum
Naomba mnisaidie nikiamini ndio moja ya msingi wa kundi au.jamii hiii...
HIV BEI YA KUPIFANYA VIPIMO VYA ULTRASOUND KWA MAMA WA JAWAZITO NI KIASI GANI?
If you...
Wakuu wa Nchi natafuta hiyo Dawa tajwa hapo juu .
Kama Kuna mwana JF anayejua phamacy ipi naweza kupata ,KILIMANJARO AU ARUSHA PLEASE.
GOD BLESS YOU GUYS.
Aiseeee hili tatizo linanisumbua kweli nimeambiwa damu imezidi kiwango badala ya kuwa 85% imefikia mpaka 132%.
Sasa inaonekana nishakuwa ngombe wa kubeba midamu yote hiyo.
Na kibaya zaidi...
My young brother have been diagnosed with NF1 and he had several surgery sessions in KCMC but there is insignificant cure he can say positively for, rather there is only scars remain on face and...
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada wenu kwa tatizo hili kwani bila kupata msaada japo wa mawazo naweza pata hata magonjwa ya zinaa na UKIMWI. Ukweli ni kwamba, tangu nianze kufanya mapenzi sijawahi...