Ndugu zangu hapa nilipo hali ya sinto fahamu, jana kwenye pita pita zangu nilikutana na mama mmoja nesi "nadhani" akiwa anawapima watu "presha ya mwili" ilikuwa maeneo ya sokoni na mimi nikavitiwa...
Hii imetokea kwa rafiki angu mara ya mwisho kupima mimba yake ilikua na wiki 31 mwezi mmoja baadae alivyoenda Clinic majibu ya utrasound yakaonesha wiki 30. Hivi hii imekaaje wadau maana ata...
Msaada wadau nimekuwa nikibanwa mkojo kwa muda mrefu bt unfortunately nikitaka kukojoa mkojo hautoki, unakua unauma tu lakini hautoki.
Mwenye ufahamu wa hili msaada tafadhali.
Habari zenu!
Nilipatwa tatizo la kuwasha ngozi mwili mzima na nilijikuna sana.
Nilipaka dawa na nilipona. Tatizo sasa mwili umebaki na alama nyeusi kama sijui nini. Me ni mwoga wa kujaribu...
Habari,
Nimeileta hii humu maana jukwaa la madaktari huchukua muda kupata msaada wa haraka, na huku ndio kuna wadau wengi.
Akina mama mnafanyaje mtoto wa wiki tatu akifunga choo? Hospitali...
Naomba niulize kitu kuna ugonjwa wa kuchubuka mapaja kati ya mapumbu na mapaja yaani mapaja yanakuwa kama yameungua na moto hivi alafu kunakuwa na kaarufu fulani hivi, najua humu ndani kuna...
Hi Wana JF habarini za aasubuhi.
Me niko pouwa sana kimwili ila kimawazo sio sana kuna huyu my first born wangu asumbuliwa sana na Mchango yaani usiku kucha kanalia do kiukwelnajisikia vibaya...
EWE MWANAMKE ITUMIE PEDI HII KWA AFYA YAKO.
Neplily Ped
Asili ya Jina la Neplily imetokana na muunganiko wa majina mawili ambayo ni
?Nep? kutoka kwa neno Neptunus
?Lily? kutoka kwa maua yaitwayo...
Habari zenu wakuu,
Natumaini mpo wazima wa afya. Jamani embu nisaidieni wataalamu nina mpenzi wangu anasumbuliwa na maumivu chini ya kitovu anasema nyamanyama ambazo zipo chini ya kitovu...
Wana jukwaa nikwamba nina hali ya kutokwa jasho jingi nikifanya zoezi.
Yaani kulowa jasho kawaida. Wakati mwingine hata ninapokula natokwa jasho. Je tatizo ni nini na linaishaje?
Maana...
Habari wana jf,
Naomba kuuliza ni madhara gani anayoweza kupata mama mjamzito au mtoto aliye tumboni ikiwa mama ametumia piriton bila ushauri wa daktari na pia amekula samaki aina ya papa na...
Wakuu wa Nchi, naombeni kwa wale ndugu zetu wanaoishi China kama Kuna Dawa za KICHINA za kutibu kisukari type 2, diabetes, za kichina.
Natanguliza shukrani mabibi na mabwana .
Unakuta mtoto wa kiume ana miaka 4 kwenda 5. Bado hawezi kuongea kwa kuunganisha maneno ama anaongea neno moja tu, tofauti na wa kike.
Tatizo ni nini WATAALAM?!
Kulingana na vyakula tunavyokula, unajikuta mwilini una sumu nyingi kuliko virutubisho, sasa cha kufanya nunua majani ya kunde, yaoshe then yachemshe kama kwa dakika 15, iipue kisha kunywa supu...
Mimi naomba ushauri wa hili tatizo mimi nikifanya mapenzi na mke wangu huwa napatwa na vishilingi kwenye sehemu za siri japo sijui kama nimetumia lugha sahihi .
Sasa sijui tatizo ni nini...
Habari wakuu,
Hiki ni kitu ambacho huwa mara kwa mara kinanitokea na yawezekana hata wewe imeshawahi kukutokea.
Mfano: Mnaweza kuwa kuwa group la watu kama tano mpo pamoja mnatembea, kati yenu...
Habari ndugu wanajamvi,na mdogo wangu aliyechaguliwa Bachelor in Medicine pale Herbat Kailuki.
Nilikuwa naomba kujua kama kuna mtu anajua agency(ies) ambazo zinawezakutoa udhamini ili kuweza...