Wana JF ,naomba kuuliza kama Kuna mtu alishawahi kutumia hizi products za kichina kama zinafanya kazi kwa uzuri please let me know .na kama Wana office Arusha iko maeneo yapi please.
Msaada kama...
1. Pombe husababisha ugomvi maana mtu akishalewa hajitambui anafanya nini.
2. UCHUMI : Kwanza pombe inakumalizia hela za matumizi muhimu kama vile kusomesha watoto, unabana budget ya vitu muhimu...
Kuonekana mrembo na mdogo imekuwa ni jambo la msingi sana katika tamaduni nyingi sasa. Katika ulimwengu wa sasa, tunaguswa sana na picha nyingi vutivu za watu maarufu. Kwa Tanzania tunao baadhi ya...
Habari wa JF,
Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 32. nina tatizo la miguu na mikono kuwa ya moto na pia kuwa na ganzi ni tatizo ambalo limeanza kama wiki 4 zilizopita saa nyingine hata nikivua...
Hi,kuna hii tendency nimekuwa naiona kwa akina mama waliozaa watoto waliowatosha,wanafunga kizazi kabisa ili kuepukana na hizi njia na uzazi wa mpango ambazo zina madhara kadha wa kadha.
Naombeni...
Utafiti mpya kabisa na wa hivi karibuni kutoka chuo kikuu cha Stanford nchini Marekani unaonesha kuna uhusiano mkubwa kati ya mafuta ya transfoma na nguvu za kiume.
Profesa Derrick Fitzgerald...
Shikamoo madaktari.
Mimi nina shida bwana shida yenyewe ni kwamba leo asubuhi nimeamka sijala chochote hadi muda huu nakuandikia kwako.Ila hadi sasa toka asubuhi nimeisha enda chooni haja kubwa...
Kama hali itaendelea hivi kizazi hiki hasa vijana wengi wa kiume hasa wa mjini watakabiliwa na tatizo kubwa la nguvu za kiume kwa kukosa lishe!
Katika utafiti wangu, nimegundua kuwa vijana wengi...
Wanaume wengi ama wameachwa, au wako mbioni kuachika au mke yupo mchepuko kwa sababu ya kushindwa kula Nyama tena ya stake.
Inakuwaje wewe mwanaume uliye na bibi mzuri unashindwa kumpa raha...
Wadau,
Nina 102kgs, nimeamua kuanza kula mlo mmoja wa mchana tu, huku jioni nikipitisha na maji tu. Breakfast nayo ni Mara moja moja. Lengo langu ni kufika 85kgs.
Je, nini hasara ya njia hii...
kuna mtoto wa dada cjui anashida gan...afya yake sio nzuri ana mwaka mmoja ana kg 8... mtoto hali kitu chochote zaid ya uji na maji tu bt uji anauchanganyia....
mahindi
mchele
mtama mweupe...
WanaJF,
Health is an important asset to any person. For Jamiiforums members good health is additionally needed for an effective participation in the frequently hot, intelligent and brutal...
Naomba mnisaidie mtoto anaanza kucheza mimba ikiwa na muda gani,
mimi nina ujauzito wa miezi minne, ni ujauzito wangu wa kwanza, sijaexperience hiki kitu.
Za leo wandugu wapendwa,
Jamani napenda kutoa shukrani kwa wana JF wote wa umoja wenu katika maswa mbalimbali. Leo ningependa kupewa all the proceedures(vyakula, uvaaji n.k) za mama mjamzito...
Image: shutterstock
Flab around the belly! This is one thing that can be source of constant embarrassment no matter whats your age. Nobody wants their tummy protruding out and making their...
Habarini wanaJF,
Naombeni kujua hivi inawezekana kwenda kupima HIV alafu majibu ukaomba utumiwe kwa njia ya sms yani usiyapokee hapohapo utumiwe kwa sms.
Jama naomba ushauri kwan kwa muda sasa nimekuwa nikitumia hiki kinywaji lakini nnapo amka asbhi kichwa hwa kinak'wa kizito na mdomo k'wa mzito na kama michbko flani kwenye 'limi hlp pl'z je kina...